KINANA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUIKEMEA CUF KUWAITA MAKAFIRI WANAOHAMIA CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Pujini wilayani Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi...
View ArticleWAANGALIZI WA SIRI KUSIMAMIA MECHI ZA MWISHO FDL
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litatuma waangalizi wa siri kwenye mechi za raundi ya 21 na 22 ambazo ni za mwisho kwa makundi yote ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zitakazoanza kuchezwa...
View ArticleWAFUASI 30 WA CUF WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wanaotuhumiwa kuandamana bila kibali Januari 27 wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande) Wakili wa...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI YA UTUMIAJI WA SimBanking NA FAHARI HUDUMA WAKALA
Na Mwandishi WetuBENKI ya CRDB imezindua kampeni maalum ya utumiaji wa huduma zake kupitia simu za mkononi ‘SimBanking’ kupitia kwa mawakala wa ‘FahariHuduma’.Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
View ArticleEvaluation of IFAD programme in Tanzania points to major strides but also...
Dar es Salaam, 29 January 2015 -Targeted investments in Tanzanian agriculture contributed to increasing yields for crops such as paddy, maize, or tomatoin a range of 60 to 120 per cent in those areas...
View ArticleUMOJA WA VIJANA WA CUF WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AJIUZURU
Mwenyekiti wa Vijana CUF Taifa Hamidu Bobali akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu kitendo cha kudhalilishwa kwa Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba...
View ArticleWAFUASI 30 WA CUF WAPATA DHAMANA
Baadhi wa watuhumiwa wakiwa mahakamani.Na Mwandishi WetuSIKU moja baada ya kusota rumande hatimaye wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wapatao 30 leo wameachiwa huru kwa dhamana katika...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu atembelea miradi Geita na Mwanza
Msimamizi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Bombambili Geita Bw, Julius Ntoga (kulia) akitoa maelezo ya mradi huo kwa ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu...
View ArticleWAZIRI MUKANGARA MGENI RASMI FAINALI YA WANAWAKE
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Taifa Wanawake kati ya Pwani na Temeke itakayochezwa Uwanja wa Azam...
View ArticleUTT-AMIS YATOA SEMINA KUHUSU UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA...
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS kuhusu Uwekezaji wa pamoja kwenye Masoko ya Fedha wakati wa semina ya kuwaelimisha...
View ArticleSIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/-
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga klabu ya Simba faini ya sh. milioni tatu kutokana na timu yake kuvaa jezi ambazo hazikuwa na nembo ya mdhamini wa Ligi Kuu, kampuni ya Vodacom wakati wa mechi...
View ArticleBenki ya CRDB na kampuni ya Bima ya Heritage zanyakua tuzo za BBLA 2014
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Charles Kitwanga, (Kushoto) akimkabidhi tuzo mshindi wa Tuzo za Bodi yenye Uongozi Bora za 2014 (BBLA) katika sekta ya kibenki, Mwenyekiti wa Bodi ya...
View ArticleDIAMOND PLUTNAMZ ATUA NA MPENZI WAKE ZARI MJINI SONGE
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja...
View ArticleYANGA YALAZIMISHWA SARE NA NDANDA
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa Danda SC, Azizi Sibo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....
View ArticleMIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa...
View ArticleJK AONGOZA KILELE CHA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA LEO
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi alipowasili katika Uwanja wa Maji Maji mjini Songea kuongoza wananchi katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM. Picha na...
View ArticleTFF MBIONI KUPATA MDHAMINI FDL
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kupata mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL). Tunatarajia mdhamini huyo atakuwa tayari kwa ajili ya msimu wa 2015/2016.Ligi Daraja la Kwanza...
View ArticleMWANAHABARI FRANK KIBIKI AENDELEA KWATESA WAPINZANI WAKE ACHANGIWA PESA ZA...
Kibiki akibadilishana mawazo na mmoja wa wanachama wa tujiwezeshe cha kituo kikuu cha mabasi mjini Iringa Katibu wa kikundi cha tujiwezeshe chenye wanachama zaidi ya 560, wa kituo kikuu cha mabasi...
View Article