Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

NAPE AFANYA ZIARA TANZANIA DAIMA

$
0
0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  (kushoto) akipeana mkono Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipotembelea ofisi za gazeti la Tanzania Daima. (Picha na Francis Dande)

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  (kushoto), akizungumza na Wahariri wa gazeti la Tanzania Daima, alipotembelea ofisi za gazeti hilo jana. (Picha na Francis Dande)

 Nape akisalimiana na Mbowe.
Nape akiangalia Kibonzo.
 Nape akifafanua jambo.
 Mwenyekiti wa Chadema akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Nape akiwa katika chumba cha habari cha gazeti la Tanzania Daima.
 Nape (katikati) akiongozana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  (wa kwanza kulia), akizungumza na Wahariri wa gazeti la Tanzania Daima, alipotembelea ofisi za gazeti hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>