Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega uchumi Nchini (Cti) Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe wa Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makazi yake Tunguu mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega Uchumi Nchini Dkt. Samuel M. Nyantahe akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal baadhi ya ramani, wakati Ujumbe wa Jumuiya hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega uchumi Nchini (Cti) uliongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe huo uliomtembelea Makamu wa Rais kwenye Makaazi yake Tunguu mjini Zanzibar.