MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA SAFARI CARNIVAL 31/12/214
Na Andrew ChaleSAFARI Carnival kwa kushirikiana na Asia Idarous Khamsin (Fabak fashions) usiku wa 31/12/2014, Wameandaa shoo maalum ya Mkesha wa mwaka mpya 'Old Is Gold taarab', Ndani ya ukumbi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM
Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na...
View ArticleAZAM, MTIBWA, SIMBA, YANGA KUCHEZA MAPINDUZI
Timu za Azam, Mtibwa Sugar, Simba na Yanga zitashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika kisiwani Zanzibar kuanzia Januari 1 hadi 13 mwakani.Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WA URUSI, CANADA NA ALGERIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleRAIA WA SIERRA LEONE APIGWA RISASI AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMANI
Askari wa doria (kushoto) akisaidiana na askari wa magereza (kulia) kushusha mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) raia wa Sierra Leone aliyepiwa risasi wakati akijaribu kutoroka...
View ArticleCoastal Union yaanza kuzipigia Hesabu pointi tatu za JKT Ruvu
Na Mwandishi Wetu, TangaTIMU ya Coastal Union imeanza maandalizi kabambe ya kuhakikisha inajipanga vema ili kuhakikisha timu hiyo inapata pointi tatu muhimu kwenye mechi yake ya Ligi kuu dhidi ya JKT...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHEREHEKEA MWAKA MPYA KIJIJINI MSOGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii yawamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono...
View ArticleWAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA TUO8JANUARY,...
Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa...
View ArticleBIRTHDAY YA MWANDISHI WA MICHEZO WA BINGWA, SHARIFA MMASI
Kutoka kushoto Deo Macha (ITV), Winnie Queen (Daily News), Sharifa Mmasi (Bingwa) na Fadhili Athumani (Mtanzania) katika hafla fupi ya kumpongeza Sharifa katika siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika...
View ArticleMISS ILALA 2014 AWAFARIJI WAGONJWA WALIOLAZWA KATIKA HOSPITALI YA AMANA NA...
Miss Ilala 2014, Jihan Dimack (kushoto), akimkabidhi zawadi za mwaka mpya, Sophia Habibu kwa ajili ya matumizi ya mtoto wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam juzi....
View ArticleKILIMANJARO FC YAITAMBIA HAI CITY
MOSHI, KILIMANJAROKOCHA wa Klabu ya Kilimanjaro FC ya mjini Moshi, Ally Chandika, amesema atahahakikisha timu yake inavuna pointi muhimu kutoka kwa vinara wa ligi daraja la Tatu, hatua ya sita bora,...
View ArticlePOLISI YAZUIA MAANDAMANO YA VIJANA KUTOKA MWANZA WALIOTEMBEA KWA SIKU 37...
Vijana waliotembea kwa miguu kwa siku 37 kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa Rais Jakaya Kikwete kuhusu vitendo vya rushwa pamoja na matumizi mabaya ya rasilimari za...
View ArticleZANZIBAR YAIMARISHA MTANDAO WA BARABARA ZA MIJINI NA VIJIJINI
Na Othman Khamis AmeMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanikiwa vyema katika uimarishaji wa mtandao wa Bara bara Mjini na...
View ArticleRIDHIWANI KWETE AANZA ZIARA YA KIKAZI KATIKA VIJIJI 40 CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikagua vyumba vya madarasa vya Shule ya Msingi Kibindu, wilayani Bagamoyo, Pwani vilivyobmoka na kuezuliwa paa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivi...
View ArticleRAIS KIKWETE KUMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KESHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete anatarajiwa kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpyaBwana George Mcheche Masaju (pichani) siku ya JumatatuUteuzi wa Bwana Masaju ulianza...
View ArticleMsama ajing’atua kwa Rose Muhando
HATIMAYE Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama (pichani) ameibuka na kutamka yeye si Meneja wa malkia wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando akisema amekuwa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) PAMOJA NA FAMILIA...
Kaimu Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha akimkabidhi zawadi Khamis Mussa baada ya kuibuka mshindi wa kukimbia wakati wa siku ya familia ya wafanyakzi wa...
View ArticleSHEREHE ZA MAULID ZAFANA ZANZIBAR NA DAR
Wanafunzi wa Madrasa Shathil ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam wakisoma Qaswida wakati wa sherehe za Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.) zilizofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis...
View ArticleDORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA...
Redds Miss Kanda ya Kati 2014/15, Doris Mollel akiongea Maneno machache wakati akikabidi mashine mbili za kupumulia kwa watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida zenye thamani ya Tsh millioni 1.2...
View Article