TUNALAANI VURUGU ALIZOFANYIWA JAJI WARIOBA- CUF
Chama cha Wananchi kimesikitishwa na vitendo vilivyofanywa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na Kamanda wa Chipukizi UVCCM Paul Makonda kwa kufanya fujo na...
View ArticleNSSF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMISEMITA MKOANI MOROGORO
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ndio mdhamini Mkuu wa mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (Shimisemita) inayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro hadi Novemba...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA ILIYOKUWA TUME YA MABADILIKO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuzungumza na aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, walipokutana...
View ArticleVIGOGO WA TPDC WALIOSHINDWA KUWASILISHA MIKATABA YA GESI WAPELEKWA POLISI
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), Michael Mwanda akipanda kwenye gari la Polisi kupelekwa kituo cha Kati chja Polisi jijini Dar es Salaa, kwa kushindwa kutekeleza...
View ArticleTBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose...
View ArticleBENKI YA CRDB YASHIRIKI KONGAMANO LA VIJANA LA BIASHARA LILILOANDALIWA NA...
Jumla yaVijana 150 kutoka ndani na nje ya nchi wameudhuria Kongamano la Biashara kwa Vijana lililofanyika jijini Arusha ambapo Benki ya CRDB wakiwa ni miongoni mwa wadhamini wa kongamani...
View ArticleMEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABNARA HII YA UKONGA MAZIZINI -...
LEO katika Porojo za ANKO KIDEVU anafunguka kuhusina na ujenzi wa barabara ya Ukonga Mazizini - Moshi Bar yenye urefu wa Kilometa 3 ambayo ulielezwa kugharimu shilingi milioni 90. Kusoma zaidi BOFYA...
View ArticleMUONGOZO WA USHIRIKIANO KATIKA KUGOMBEA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)Dk. Wilbrod Slaa akifafanua jambo wakati viongozi wakuu wa vyama vya NLD, NCCR-Mageuzi, CUF na Chadema waliposaini muongozo wa ushirikiano...
View ArticleWATEJA 15 WAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO LA CASTLE LITE
Meneja Msaidizi wa Castle Lite, Victoria Kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, wakati wa kutangaza washindi wa shindano la Bia ya Castle Lite Yatch Party. Jumla ya washindi 15...
View ArticleNOOIJ AITA 24 STARS KUIKABILI SWAZILAND
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitaja kikosi cha timu ya taifa kitakachopambana na Swaziland Novemba 16 jijini Mbabane. Kulia ni...
View ArticleMKUU WA MKOA WA TANGA AWATAKA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA ARDHI
Ofisa Wakala wa Nje kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii PPF, Pima Mohamed akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa na mfuko huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa (katikati) alipotembelea banda hilo...
View ArticleNHIF YAPELEKA MADAKTARI MKOANI MARA, WAWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA MBALIMBALI
Mwakilishi wa naibu mkurugenzi mkuu wa NHIF Bwana Michael Kishiwa (mwenye koti jeusi) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome vifaa tiba, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya mkoa...
View ArticleLINAH SANGA AWATA WAZAZI NA WALEZI KUWAPA NAFASI WATOTO WENYE VIPAJI
Ofisa wa mfuko wa Pensheni wa GEPF Baraka Mtoi akitoa maelezo ya kwa msaanii wa musiki wa kizazi kipya Linah Sanga kabla ya kujiunga na mfuko huo katika mabanda ya maonyesho kampeni ya mwanamke na...
View ArticlePINDA AKAGUA MAGHLA YA CHAKULA DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda...
View ArticleKUTOKA BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea cheti cha ubora uliothibitishwa na Shirika la...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, BALOZI
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Dk. Donan Mmbando baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis...
View ArticleNSSF YAWAKABIDHI NYUMBA WASANII WA ORIJINO KOMEDI
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA MABIBO KUPITIA BIA ZAKE ZA WINDHOEK LAGER NA WINDHOEK...
Mshereheshaji wa Promosheni hiyo, Andrew Kagya, akiwajibika. Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.Fr.James Rugemalira (katikati), akiwa meza kuu na...
View ArticleNSSF YAWAKABIDHI NYUMBA WASANII WA ORIJINO KOMEDI
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery 'Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu...
View ArticleTIKETI ZA ELEKTRONIKI KUTOUZWA KWENYE MAGARI
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea wikiendi hii ambapo tiketi za elektroniki hazitauzwa tena kwenye magari, hivyo washabiki wanunue tiketi hizo kwenye mtandao au...
View Article