Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea cheti cha ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Joseph Masikitiko kutokana na ubora wa asali anayozalisha na kuuza yenye nenmbo ya P&P. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dar es salaam Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu