KUKATIKA KWA UMWEME DAR TANESCO WAOMBA RADHI
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO), imesema tatizo la kukosekana kwa huduma hiyo katika baadhi ya maeneo kulikojitokeza wiki iliyopita kulisababishwa usafishaji wa visima vya gesi ya...
View ArticleBARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LACHOCHEA UBORA WA...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Dk Anacleti Kashuliza (wa pili kulia) akiweka saini makubaliano ya ushirikiano kati ya FCDL na TAWOFE katika kuboresha utengenezaji wa samani nchini....
View ArticleKILUVYA UNITED YAIFUNGA SINZA STAR 3-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA...
 Kikosi cha Kiluvya United kikifanya mazoezi mepesi kabla ya mechi yao ya Ligi ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 2014 katika Uwanja wa Makurumla dhidi ya Sinza Star. Kiluvya United ilishinda 3-0....
View ArticleNHC watathmini utekelezaji wa ujenzi wa miradi
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na...
View ArticleBenki ya Posta kutoa Mkopo wa basi kwa timu ya Mbeya City FC
Na Kenneth Ngelesi, MBEYABANKI ya Posta nchini (TPB) imekubali kutoa mkopo wa basi lenye dhamani ya shilingi milioni 300 kwa timu ya Soka ya Mbeya City FC kwa ajili ya safari mbalimbali za kushiriki...
View ArticleTFF YAJIBU SHUTUMA ZILIZOTOLEWA NA WAKILI NDUMBARO
Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Wakili Damas Ndumbaro alitoa shutuma mbalimbali dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Tunapenda kuuleza umma wa Watanzania...
View ArticleMSAMA AMPONGEZA JK UJENZI WA KIDONGO CHEKUNDU DAR
 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akitoa pongezi kwa Rais Jakaya Kikwete baada ya kuzindua Kituo cha Michezo cha Kidongo...
View ArticleWAZIRI WA AFYA SEIF RASHIDI AZINDUA RASMI GHETTO RADIO KATIKA HOSIPITALI YA...
Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na Wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi Rasmi wa Radio hiyo,...
View ArticleWAZIRI WA AFYA SEIF RASHIDI AZINDUA RASMI GHETTO RADIO KATIKA HOSIPITALI YA...
Waziri wa Afya Mh. Seif Rashid akiongea na Wauguzi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Temeke, Wafanyakazi wa Ghetto Radio ya Sibuka Fm pamoja na wadau mbalimbali wakati wa uzinduzi Rasmi wa Radio hiyo,...
View ArticleMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar afungua msikiti wa Kijiji cha Tasani...
  Maustadhi wa baadae wakifurahia ufunguzi wa Madrasa yao ya Shafiiyat iliyopo Tasani Makunduchi uliofanywa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na...
View ArticleVIJANA WAASWA KUJIUNGA NA SKAUTI
NA KENNETH NGELESI, MBEYAÂ Â MKURUGENZI wa kampuni ya Tugeme Interprises ya mjini Tukuyu mjini Rungwe,Tumaini Mwaijande amwapongeza wazazi nchini kwa uamuzi wa kuwaruhusu watoto wao kujiunga na skauti...
View ArticleJAJI WARIOBA APATA KIPIGO KUTOKA KWA VIJANA WALIOVAMIA MKUTANO WA KUJADILI...
Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Saam leo. (Picha zote na Francis...
View ArticleMsama Auction Mart yakamata mitambo, kazi feki za mamilioni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za kurudufu CD feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es...
View ArticleMSONDO WAMETIMIZA MIAKA 50 YA UHAI WA BENDI YAO
 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964, Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja...
View ArticleHOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA
 Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni...
View ArticleBENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima akiwasili ukumbini wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa sh. Bilioni 43 kutoka Benki ya Uwekezaji Ulaya. Kulia ni...
View ArticleKOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI STARS
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij keshokutwa (Novemba 5 mwaka huu) atatangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) itakayochezwa...
View ArticleTOYOTA TANZANIA YAWATUNUKU WAFANYAKAZI WAKE BORA, MMOJA ALAMBA TIKETI YA...
Meneja wa Karakana wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Josee Alverace (kushoto) na Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi...
View ArticleTAMASHA LA HANDENI KUFANYIKA DESEMBA 31
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMDAU wa muziki wa dansi Tanzania ambaye pia ni Mchumi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Kata ya Makumbusho, Yusuphed Mhandeni, amesema kuna haja kubwa wadau kuliunga mkono...
View ArticleDk. Kigwangala ahimiza amani nchini
Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la Mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande...
View Article