MSHINDI WA TMT 2014 MWANAAFA MWINZAGU AFAULU MITIHANI YAKE YA KUMALIZA ELIMU...
Pichani (Katikati) ni Mwanaafa Mwinzagu ambae ni Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 akiwa katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya wafanyakazi na Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions...
View ArticleDANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE KIKUBWA CHA SARUJI MTWARA
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE...
Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa...
View ArticleWANAFUNZI 18 WAENDA CHINA KATIKA MASOMO YA UDAKTARI, MAFUTA NA GESI
Wanafunzi wanaokwenda kusoma katika vyuo vikuu vya nchini China wakipokea hati za kusafiria kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities Abroad Link, Tony Kabetha kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMBOWE ANGURUMA NZEGA TABORA
Mweenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa...
View ArticlePINDA AFUNGUA BARAZA KUU LA VIJANA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua semina ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Novemba 7, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View ArticleKikombo; Chadema kuzoa Viti vyote vya Serikali za Mitaa
Na Bryceson Mathias, KikomboMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mtaa wa Kikombo Makulu, Eliakimu Kutusha amesema, Chama chake kitaibuka Mshindi na kuzoa Viti vyote vya Kata ya...
View ArticleSitti Mtemvu avua taji Redd’s Miss Tanzania
Redd's Miss Tanzania 2014 aliyevua taji lake, Sitti Mtemvu.Na Mwandishi WetuREDD’S Miss Tanzania Sitti Abbas Mtemvu ameamua kuvua taji la Redds Miss Tanzania alilovikwa usiku wa Oktoba 11 mwaka huu...
View ArticleHII NDIO BARABARA ILIYOKARABATIWA KWA MILIONI 90 UKONGA MAZIZINI- MOSHI BAR
Hii ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi...
View ArticleYanga yaifunga Mgambo 2-0
Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akichuana na beki wa Mgambo Shooting, Bushiru Mohamed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....
View ArticleSIMBA YAIPIGISHA KWATA RUVU SHOOTING, YAIFUNGA 1-0,YAPATA USHINDI WA KWANZA...
Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande)...
View ArticleDJ JD na DJ FAST EDDIE WAFANIKIWA KUREJESHA MUZIKI WA DISKO KILELENI TENA
DJ JD akiwa kazini katika ukumbi wa Isumba Lounge jijini Dar es salaam usuiku wa kuamkia leo. Yeye na DJ Fast Eddie wameweza kurejesha utamu wa wapenzi wa muziki kwenda disco kwa wingi kama ilivyokuwa...
View ArticleRais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Dk.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi (kulia) baada ya...
View ArticleUJIO MPYA WA MWANAMUZIKI TOXSTAR NA VIDEO IJULIKANAYO KAMA 'OLE'
NA SYLVESTER DAVID MWANAMUZIKI maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini maarufu kama Toxstar ameachia video ya ngoma yake mpya ijulikanayo kama Ole aliyomshirikisha Spince Seseme.Akizungumza na HABARI...
View ArticleNSSF walibeba tamasha la Handeni Kwetu 2014
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Tanzania, limejitokeza tena kudhamini Tamasha kubwa la Utamaduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka...
View ArticleArticle 2
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi...
View ArticleMh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha...
View ArticleJK AENDELEA VYEMA NA MATIBABU ANAYOPATIWA HUKO MAREKANI
Habari kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. Tutaendelea kwuashirikisha taarifa ya maendeleo...
View ArticleMH.NAGU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA UNGA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. DK. Mary Nagu ametembelea Kiwanda cha kutengeneza unga cha Basic Element ltd jana Novemba 10, 2014 Dar es Salaam. Waziri Nagu...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA NDUG.ROBERT VICTOR LENGEJU
Familia ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam.Mipango ya mazishi inafanyika...
View Article