Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

TBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

$
0
0

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz


IMETOLEWA NA KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA RAIS IKULU,

NOVEMBA 4, 2014

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles