DIAMOND AANZA KUMTENGENEZEA SOKO WEMA
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amesema yupo kwenye mazungumzo na muigizaji mkubwa Nigeria ili aanze kufanya kazi na mpenzi wake ambaye pia ni...
View ArticleMO MUSIC: MAISHA YA USTAA NI SHIDA
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na ngoma yake ya ‘Basi Nenda’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amesema, staili ya maisha yake imebadilika kutokana na umaarufu...
View ArticleHAFSA KAZINJA AMTAJA 'MLALA NJE'
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Zouk, Hafsa Kazinja ameachia video ya wimbo mpya ‘Mlala nje’ na kusambaza katika vituo mbalimbali vya televisheni. Mwanadada huyo...
View ArticleWabunge wasikitishwa Yanga kutokwenda Kagame
Abbas MtemvuNA CLEZENCIA TRYPHONE MBUNGE wa Jimbo la Iramba Mwigulu Nchemba na wa Temeke Abbas Mtemvu, wamesema kitendo cha Yanga kutoshiriki michuano ya Kagame inayoendelea kutimua vumbi Mjini Kigali,...
View ArticleKaburu: Simba mtaipenda tu
NA CLEZENCIA TRYPHONELICHA ya timu ya Simba, kukubali kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Zesco katika mchezo wa sherehe yao ya ‘Simba Day’ mwishoni mwa wiki iliyopita, uongozi wa timu hiyo, umesema...
View ArticleViongozi Taifa Stars waidai TFF
NA MWANDISHI WETUVIONGOZI wa benchi la ufundi la Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ pamoja na madereva wa mabasi ya timu hiyo, wamelikalia kooni Shirikisho la Soka Tanzania, ili liwalipe stahiki zao, licha ya...
View ArticleKIONGERA AJIFUNGA MIAKA MIWILI SIMBA
NA CLEZENCIA TRYPHONEMSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Raphaer Kiongera (pichani), anatarajiwa kumwaga wino wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi Kariakoo Jijini Dar es...
View ArticleFLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA...
Mwanamitindo Flaviana Matata (wa tatu kutoka kulia waliosimama nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule...
View ArticleRAIA WA COLOMBIA AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA
Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya,Godfrey Nzowa akionesha Cocainezilizokuwa zimefichwa katika mkanda wa suruali aliyokuwa amevaa raia wa Colombia, Andres Filipe Ballesteros Uribe (28),...
View ArticleFLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA...
Mwanamitindo Flaviana Matata (wa tatu kutoka kulia waliosimama nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule...
View ArticleKinondoni kutoa Redd’s Miss Tanzania
Na Mwandishi WetuKUMEKUCHA! Miss Kinondoni anayemaliza muda wake, Lucy Tomeka, ametamba ni lazima mrembo wa Redd’s Miss Tanzania mwaka huu atoke Kinondoni.Lucy alisema ana uhakika huo mkubwa kutokana...
View ArticleMJUMBE WA BUNGE LA KATIBA AJERUHIWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel Sitta akimjulia hali mjumbe wa Bunge Maalum kutoka kundi la 201, Thomas Mgoli aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kujeruhiwa na watu...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA INDIA DESK
Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), wakizindua kwa pamoja huduma mpya ya India Desk inayowaunganisha...
View ArticleNSSF YAPELEKA VETERANI TANGA
Mshambuliaji wa timu ya Kombaini ya Tanga, Kassim Jumaa (kushoto), akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Survey veterani, Ahmad Rasuli (katikati), wakati wa mchezo maalum wa kusherehekea Sikukuu ya...
View ArticleMWANALIBENEKE DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA WAMEREMETA
Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki...
View ArticleMICHUANO YA AIRTEL RISING YASHIKA KASI
Naodhaa wa timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anwye na mshambuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Uwanja wa Karume...
View ArticleReview Class for the 13th December 2014 CISA & CISM Exams
Registration is NOW open for CISA & CISM Review Class for the forthcoming CISA & CISM exam on 13thDecember, 2014. Our Reviews are due to begin on Monday 25th...
View ArticleBI VAILET MAKAZI WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI
Na John Banda, KongwaBi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa...
View ArticleTBL YAKAGUA UJENZI WA KISIMA CHA MAJI CHA ZAHANATI YA MAKUBURI
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji...
View ArticleTFF HAITAMBUI MABADILIKO YA UONGOZI COASTAL UNION
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika hivi karibuni.Uongozi wa...
View Article