Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MICHUANO YA AIRTEL RISING YASHIKA KASI

$
0
0
Naodhaa wa timu ya Ilala, Maisala Adam (kulia) akimiliki mpira asinyang'anwye na mshambuliaji wa Kinondoni, Ibrahimu Chuli wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars inayofanyika katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu ya Ilala ilishinda 1-0.
Mchezaji wa timu ya Ilala, Hussein Rashid (kulia) akipimana ubavu na beki wa timu ya Kinondoni, Miraji Kwangaya wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Mabeki wa Kinondoni Fredy Mazuri (Kushoto) na Miraji Kwangaya wakimzuia mshambuliajai wa Ilala, Hussein Rashid wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars.
 Naodha wa Timu ya Kinondoni, Fredy Mazuri (aliyeanguka) akijaribu kumzuia naodha wa Ilala, Shabani Ally (Aliyeruka) asipite wakati wa michuano ya Airtel Rising Stars.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>