Quantcast
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Redd’s Miss Kinondoni Talent leo

Na Mwandishi Wetu  Shindano la Redd’s Miss Kinondoni, linazidi kushika kasi na kazi kubwa ipo leo wakati atakaposakwa mrembo mwenye kipaji kati ya 20 wanaoliwania taji hilo.Mratibu wa Redd’s Miss...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATAKAMATA YA WAUZA CD FEKI YAANZA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu zoezi la kuwakamata watu wanaouza CD feki za kazi za wasanii.  Na Ramadhani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA KESI YA UGAIDI WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kusomewa mashtaka yanayowakabili. (Picha zote na Francis Dande) Kiongozi wa Jumuiya ya...

View Article

Kapunga FC bingwa Merere Cup baada kuifumua Motor cycle 2-1

Na Kenneth Ngelesi, MBARALIMICHUANO ya soka ya Merere cup 2014 ilifikia tamati juzi huku timu ya soka ya Kapunga FC kutoka kata Itambo ikiibuka bingwa na kuondoka na kombe baada ya kuichapa timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIAMA JUU YA MIFUKO...

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.   Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MAHINDRA YATAMBULISHA MAGARI YAKE KATIKA SOKO LA TANZANIA

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akipeana mkono na Ofisa Mtendaji Mkuu wa QCS, Balachandran Ramachandran mara baada ya kuzindua magari yanayotengenezwa na Kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAAMBIWA HIVIII:::UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI IPO SKYLIGHT...

 Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDA: AWAINGIZA SIMBA CHOO CHA KIKE

Katibu wa Coastal Union, Kassim El Siagi (pichani), amekanusha kwa kusema kuwa habari zilizoenezwa kuwa walishindwa kumlipa mshahara mchezaji huyo sio za kweli bali kilichotokea ni kwamba banda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA UTT ASSET MANAGEMENT

Ofisa Mwendeshaji Mafunzo  UTT Asset Management, Hilder Lyimo (kulia),  akitoa maelezo kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT jinsi mifuko ya Uwekezaji wa pamoja inavyoweza kumpa fursa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AIPA TUZO VETA KWA KUIBUKA WASHINDI WA KWANZA NANE NANE KITAIFA

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilali akikabidhi tuzo ya Ushindi wa kwanza Kitaifa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuibuka washindi wa jumla katika Kundi la Taasisi za...

View Article

KONGAMANO LA KWANZA LA TANZANIA DIASPORA INITIATIVE KUFANYIKA AUGUST 14 -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE MASHABIKI WA YANYA WAONYESHANA UBABE NA WENZAO WA SIMBA

 Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba. (Picha zote na Francis Dande)Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, William...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE...

Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.  Watoto waliotembelea Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.Watumishi...

View Article

MAOFISA WA FIFA KUWASILI AGOSTI 10

Maofisa wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wanawasili nchini Agosti 10 kuangalia jinsi mchezo huo unavyoondeshwa nchini.Ujumbe huo wa FIFA utakaokuwa na maofisa sita, baada ya ziara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DR. MOHAMMED GHARIB BILAL ALIPOTEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Gharib Bilal akikaribishwa na Meneja masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipotembelea banda la shirika hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZESCO YAICHAPA SIMBA 3-0

 Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Simba pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi. (Picha na Francis Dande) Kikosi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI JUU WALIOFADHILIWA NA TBL WAPATA MAVUNO MENGI

 Mkulima (wa pili kulia) wa Shayiri katika mashamba ya Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha akiendelea na uvunaji wa Shayiri kwa kutumia mashine ya kisasa ambapo wameweza kuvuna hadi gunia 1o...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUIPIGWA NA THOMASI MASHALI

Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam. Maugo alishinda kwa point.Bondia Said Memba kushoto akioneshana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO ATIKISA MWIDAU CUP PANGANI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), akizungumza na wananchi katika uzinduzi wa mashindano ya soka ya Mwidau CUP leo mjini Pangani.Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema),...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>