MEMBE NA NAPE WAHANI MISIBA YA WALIOPATWA NA AJALI MTAMA NA KUTEMBELEA MAJERUHI
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume...
View ArticleCOASTAL UNION YATOA UFAFANUZI KUHUSU MAAMUZI YA MKUTANO MKUU
NA MWANDISHI WETU,TANGAUONGOZI wa Klabu ya Coastal Union umesema kikao cha wanachama kilichoketi mwishoni mwa wiki iliyopita kilikuwa na agenda kuu mbili ikiwemo kumjadili Mwenyekiti wao aliyejiuzulu...
View ArticleMahabusi ya watoto Tanga kupatiwa fedha
Na Eleuteri Mangi-MAELEZOSerikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii...
View ArticleNIMESAHAU LAPTOP YANGU AINA YA HP KWENYE HAFLA YA UZINDUZI WA SABUNI MPYA YA...
Ndugu mpendwa nimesahau Laptop yangu aina ya HP wakati wa hafla ya uzinduzi wa sabuni ya Omo Fast Action katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. Kwa yeyote ambaye atakuwa nayo naomba uwasiliane...
View ArticleWAREMBO 20 KUGOMBEA REDD'S MISS K'NDONI
Baadhi ya warembo wanaoshiriki Shindano la Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja.NA MIKA NDABASHINDANO la Redds Miss Kinondoni linatarajia kuwashusha jukwaani warembo 20 watakaowania taji...
View ArticleSurvey Veterani yawakubali NSSF
Kikosi cha Timu Ya Survey wakiwa katika picha ya pamoja. Wachezaji wa Survey Veterani wakiwa katika picha yapamoja Wachezaji wa Coastal U 20 kabla ya mechi.Mchezaji wa Timu ya Survey Veterani Hamad...
View ArticleDK.Shein Atembelea Karakana Matrekta Mbweni leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa kitengo cha uchongaji wa vifaa katika Karakana ya Wizara ya Kilimo na Maliasili...
View ArticleKIBONDE APANDISHWA KIZIMBANI
Mtangazaji wa Clouds fm, Ephraim Kibonde na Gadner G Habash Wakiingia katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.NA Mwandishi WetuWATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde (42)...
View ArticleMOTO WATEKETEZA MSIKITI WA MTAMBANI
Moto ukiunguza jengo la Msikiti waMtambani. (Picha zote na Francis Dande) Wananchi wakichota maji katika harakati za kusaidia kuzima moto. Askari wakiimarisha ulinzi. Polisi wakiwa wakiwa katika eneo...
View ArticleJUMA KASEJA AWA BALOZI MPYA WA NSSF
Golikipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja, ambaye ni mwanachama wa Hiari wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), akikabidhiwa mkataba kutoka kwa Mwanasheria wa NSSF, Chedrick Komba kuwa Balozi...
View ArticleWAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO
Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake...
View ArticleSeedco Yazindua Mashindano ya Mashamba Darasa
Meneja Masoko wa Kampuni ya Mbegu ya (Seedco), Frank Wenga akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha juzi, kuhusu mashindano ya mashamba darasa katika Shule za Msingi...
View ArticleMADALALI WA KORTI WAKAMATA BASI LA TFF
Basi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekamatwa na madalali kwa amri ya mahakama kutokana na deni la sh milioni 140 ambalo tunadaiwa hadi litakapolipwa.Amri hiyo imetokana na deni hilo...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Ulinzi la Wananchiwa Tanzania (JWTZ), linatarajia kuzindua huduma ya Tiba kwa jamii kuanzia tarehe 15Agosti2014 hadi 19 Agosti2014 kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi 12:00 jioni katika viwanja vya...
View ArticleTAA yaipatia shule ya Yombo madawati 100
Mkurungezi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleman Suleman, (kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa madawati kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Yombo, Abdallah Ally....
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na...
View ArticleKIKAO MAALUM CHA KAMATI YA TAIFA YA MAAFA (TANDREC) CHAFANYIKA LEO, JIJINI...
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa (TANDREC), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akiongoza Kikao Maalum cha Kamati ya Taifa ya Maafa(TANDREC) ambayo, inaundwa na Washiriki wakuu...
View ArticleCOASTAL UNION KUKIPIGA NA HANDENI CITY KESHO
TIMU ya soka Coastal Union ya Tanga kesho inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki na Handeni City mchezo unaotazamiwa kuchezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea...
View ArticlePHIRI AANZA KUWANOA WACHEZAJI-SIMBA
Kocha wa Simba, Patrick Phiri akizungumza na wachezaji wa timu yake kabla ya kuanza kwa mazoezi kwenye Uwanja wa Bunju Ununio jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) wAWachezaji wa Simba,...
View ArticleNJOO UANZE WEEK-END KWA KUSAKATA RHUMBA NA SKYLIGHT BAND LEO THAI VILLAGE-MASAKI
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai...
View Article