MZEE MANDELA AFANYIWA MAOMBI MAALUM
Mandela anaendelea kupokea matibabu hospitaliniAskofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana mjini Cape Town, Afrika Kusini, Thabo Makgoba, amejitolea kufanya maombi kwa niaba ya Rais mstaafu Nelson Mandela...
View ArticleKALA JEREMIAH, NEY WA MITEGO WAMTETEA OMMY DIMPOZ
Msanii Ommy Dimpoz akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo ya KTMA 2013 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Juni 8. Kushoto ni Wema Sepetu anayefuatiwa na Vanessa Mdee.Kala Jeremiah akitoa shukrani baada ya...
View ArticleNUSU FAINALI KOMBE LA MABARA 2013: NI HISPANIA VS ITALIA LEO
Kiungo Cesc Fabregas wa Hispania kushoto, akitafuta mbinu za kumtoka Andrea Pirlo wa Italia katika fainali ya Euro 2012RIO DE JANEIRO, Brazil Baada ya jana kushuhudia mchuano wa miamba ya Amerika...
View ArticleWALTER AISAMBAZA 'DORODORO'
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na ngoma yake ya ‘Siachi’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Walter Chilambo ameachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Dorodoro’.Akizungumza na Habari...
View ArticleKUMEKUCHA MASHINDANO YA RIADHA YA VIJANA
Na Elizabeth JohnSHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limesema maandalizi ya mashindano ya vijana ya kanda ‘Eastern Regional Jr Championship’ yanaendelea vizuri baada ya kuwa na uhakika wa kuendesha...
View ArticlePDP ATAKA 'WACHAGA WAUNGANE'
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la Solid Ground family, PDP ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Wachaga tuungane’ ambayo imeanza kufanya vizuri katika...
View ArticleArticle 17
WADAU WA MTANDAO WETU WA FULLSHANGWE TUNAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KUANZIA LEO KUTOKANA NA MTANDAO WETU KUTOKUWA HEWANI KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU HATA HIVYO WATAAAMU WETU...
View ArticleMAANDALIZI YA REDD'S MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO
Warembo wa Redd's Miss Temeke picha ya pamoja, warembo hao watapanda jukwaani Julai 5 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
View ArticleRAIS WA SRI LANKA AWASILI NCHINI
Ndege aliyokuja nayo Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili nchini leo. (Picha zote...
View ArticleRais Kikwete akutana na Kiongozi wa Shirika la UNDP bi.Helen Clark ikulu
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP (UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Freddy Maro).
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI MSAIDIZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifunga rasmi mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, leo Juni 27,...
View ArticleSpika wa Bunge la Oman na Ujumbe Wake wakutana na Rais Kikwete ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na...
View ArticleRais Kikwete katika dhifa ya Kitaifa na Rais wa Sri Lanka
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na mgeni wake Rais Mahinda Rajapaksa wa Sri Lanka wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaa kwa heshima ya mgeni huyo ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na...
View ArticleCHEKA AMUWEKEA KAMBI MMAREKANI
Na Elizabeth JohnBONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka ‘SMG’ amesema atahakikisha anaingia kwaajili ya maandalizi ya pambano lake la kuwania ubingwa wa Dunia dhidi ya bondia Mmarekani...
View ArticleRECHO ANAAMINI
Na Elizabeth JohnMWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Rachel Haule ‘Recho’, ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Niamini’ ambayo imeanza kufanya vizuri...
View ArticleHISPANIA YAING'OA ITALIA KWA PENATI 7-6, SASA KUIVAA BRAZIL FAINALI
Antonio Candreva akifunga penati yake kwa staili ya 'Panenka' ambayo kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuweza kuokoa. (Habari kamili iko chini ya picha hizi).Xavi akimtungua Gianluigi Buffon...
View Article'TUPO WANGAPI' YA SUMA MNAZARETI, TUNDA MAN YAANZA KUTESA
Na Elizabeth JohnWIMBO unaokwenda kwa jina la ‘Tupo Wangapi’ ulioimbwa na wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Suma Mnazareti na Tunda Man unafanya vizuri katika tasnia ya muziki huo kutokana na...
View ArticleFamilia ya Mandela yakosoa wanahabari
Ujumbe kwa Nelson MandelaTaarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48 zilizopita.Baada ya kumtembelea...
View Article