Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

China Ibanwe ilimuuzia Nani Guruneti nchini Tanzania?

Na Bryceson MathiasWAKATI Polisi ikishindwa kuwabana Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Mchemba, na Katibu Mwenezi, Nape Nnauye, juu ya majigambo wanamfanamfahamu aliyerusha Bomu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHY-ROSE AKUNWA NA MISWADA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

 Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu miswada mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari Polisi Mtwara watimuliwa uraiani

Askari wa jeshi la polisi mkoani Mtwara wapo katika hali mbaya ya kuishi baada ya kutimuliwa toka uraiani  na kulazimishwa kuishi kambini, baada ya kutofautiana na wananchi katika sakata la gesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARCLAYS CAREER FAIR (UDBS) UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

Head of Risk Management Barclays, Daniel Botto explaining during the workshop.  Some of the workshop participants. Some of the workshop participants. Eutropia Mwambeleko, Chief of the Division of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO WILAYANI...

 Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk. Raynold Mfungahema,akionyeshwa na  Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake  wakati  alipokuwa akitoa mada  ya haki  na wajibu wa watumiaji  wa huduma za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tomeka atwaa taji Redd’s Miss Kinondoni

Na Mwandishi WetuKUMEKUCHA! Redd’s Miss Tanzania, Brigitte Alfred ameendelea kuvua mataji yake baada ya juzi usiku kumkabidhi taji la Redd’s Miss Kinondoni,  Lucy Tomeka katika shindano lililofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'MUSIC' YA STEVE RNB YAANZA KUTESA

Na Elizabeth JohnWAKATI singo yake ya ‘Jambo Jambo’ ‘ikiendelea kufanya vema katika chati mbalimbali za muziki nchini, mkali wa muziki wa bongo fleva, ‘Steve RnB’ ameachia singo mpya inayokwenda kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATONYA 'ANAJIAMINI'

Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Seif Shabani ‘Matonya’ amesema yupo katika hatua za mwisho za uandaaji wa kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Najiamini’.Matonya kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABDUKIBA AJA NA 'SIAMINI'

Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdukarim Kiba ‘Abdukiba’ yuko mbioni kuachia kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Siamini’ hivi karibuni.Akizungumzia kibao hicho,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVETERANI WA WANOGESHA BONANZA LA MBUNGE UKONGA

 Mbunge wa jimbo la Ukonga  Eugene Mwaiposa akimkabidhi jezi kapteni wa  timu ya vijana wa CCM wa jimbo hilo Abubakari (fulana ya bluu) wakati walipoalikwa kwenye bonanza la maveterani wa jimbo hilo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

View Article

WATANO WASHITAKIWA KWA UGAIDI TABORA

Ni viongozi na wafuasi wa Chadema Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam na vijana wengine leo wameshtakiwa kwa Ugaidi katika mahakama ya Hakimu mkazi Tabora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB YAFADHILI UMITASHUMTA MANISPAA YA SUMBAWANGA

Benki ya NMB imefadhili UMITASHUMTA kwenye manispaa ya Sumbawanga kwa kutoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni tisa. Lengo kuu la ufadhili huu ni kusaidiana na UMITASHUMTA katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOFU YATANDA AFYA YA MANDELA

Wananchi wa Afrika Kusin leo asubuhi wameingia kazini wakiwa  na hofu na simanzi huku wakisubiri habari kuhusu afya ya Rais mstaafu Nelson Mandela ambaye madaktari wanasema yuko mahututi.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANTEL YAZINDUA HUDUMA YA DAKTARI KWENYE SIMU YA MKONONI

Mkuu wa Kitengo cha Rasirimali Watu cha Zantel, Francis Kiaga akifafanua jambo wakati wa ushirikiano na Kampuni ya BR Solution na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kuwawezesha watanzania kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA KUAPISHWA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA IKULU JIJINI...

 Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO YATIMA WA NGEZE EDUCATION CENTER KUJUMUIKA NA WATOTO WENZAO KATIKA...

  Watoto yatima wa kituo cha Ngeze education center kilichopo maeneo ya kinondoni kwa  msisiri watajumuika na watoto wenzao katika tamasha la Raha za jana na leo linalojumuisha burudani ya bendi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAKAMATA WATU WAWILI WAKIWA NA BASTOLA KATIKA PIKIPIKI AINA YA BOXER

Askari kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T 961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki...

View Article

Miss Yunar ft Ben Pol - Nisamehe

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AKAMATWA KWA SANGOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Mama mmoja ajulilikanae kwa jina la Magreth simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akijaribu kutekeleza jaribio...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>