Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Spika wa Bunge la Oman na Ujumbe Wake wakutana na Rais Kikwete ikulu

$
0
0
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai. (Picha na Freddy Maro)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>