Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

RAIS WA SRI LANKA AWASILI NCHINI

$
0
0
 Ndege aliyokuja nayo Rais wa  Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa ikitua katika  Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere jijini Dar es Salaam mara  baada ya kuwasili nchini leo. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
 Rais wa  Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa akishuka baada ya kuwasili.
 Rais wa  Jakaya Kikwete akizungumza na mgeni wake  Rais  wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa mara baada ya kumpokea katika  Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius  Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara  baada ya kuwasili nchini leo.
 Rais  Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake wakati nyimbo za taifa zikipigwa.
 Gwaride  maalum likitoa heshima.
 Rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa akitoka kukagua gwaride maalum.
 Rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa na  Rais   Jakaya   Kikwete wakiangalia kikundi cha ngoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>