$ 0 0 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na mgeni wake Rais Mahinda Rajapaksa wa Sri Lanka wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaa kwa heshima ya mgeni huyo ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro)