NMB BUSINESS CLUB KARATU
NMB YAENDELEA KUZINDUA BUSINESS CLUB “SASA NI ZAMU YA KARATU”Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na...
View ArticleWasanii Tamasha la Filamu kumwaga msaada
Na Mwandishi WetuWASANII mbalimbali watakaoshiriki katika Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania, maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’ ambalo litafanyika jijini Mwanza kuanzia Juni 30,...
View ArticleRedd’s Miss Tanzania kanda zashindana
Warembo wanao wania Taji la Redd's Miss Temeke 2013, kutoka kushoto walio simamaMargreth Olotu, Narietha Boniface, Latifa Mohamed, Mutesa George, Naima Ramadhan, Margreth Gerald, Mey Karume, Esther...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA AFRIKA
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na waziri wa...
View ArticleKOCHA WA STARS NA UGANDA WATAMBIANA
Rais wa TFF Leodegar Tenga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi ya Stars na Uganda. (Picha na Habari Mseto Blog) Kocha Mkuu wa Taifa Stars,Kim Poulsen akizungumza na waandishi wa habari...
View ArticletiGO WAZINDUA TAWI JIPYA LA KUHUDUMIA WATEJA
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam mapema leo. Pembeni...
View ArticleSIKU YA MASHUJAA KUFANYIKA MKOANI KAGERA
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA11 Julai, 2013Taarifa kwa Vyombo vya HabariJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linaadhimisha siku ya mashujaa kila tarehe 25 Julai, ikiwa ni sehemu ya...
View ArticleMiaka 35 ya Mashujaa, JWTZ bado ni la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania?
Na Bryceson Mathias Safari hii, Siku ya Mashujaa kufanyika mkoani Kagera JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linaadhimisha siku ya mashujaa kila tarehe 25 Julai, ikiwa ni sehemu ya...
View ArticleWAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL
Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo. Picha na SUPER DMchezaji wa timu ya Texas pool klab...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JWTZ CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, tayari kwa kutunuku kamisheni kwa...
View ArticleHuduma za masikio kwa wakazi wa Dar es salaam na watoto zatolewa
Mwanzilishi wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya huduma ya vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye matatizo ya kusikia ambayo...
View ArticleBENKI YA CRDB YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB ya Benki, TullyEsther Mwambapa akizungumza katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake. Waziri asiyekuwa...
View ArticleMECHI YA TAIFA STARS, UGANDA YAINGIZA MIL 113/-
Kikosi cha StarsMechi ya kwanza mchujo ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Uganda (The Cranes) iliyochezwa jana (Julai...
View ArticleCHADEMA YATIKISA UCHAGUZI WA UDIWANI ARUSHA, YASHINDA VITI VYOTE
Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aondoke nje ya kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu, pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita...
View ArticleSpika Makinda, atuhumiwa kuongoza kudhalilisha waandishi,Vyombo vya habari!
Na Bryceson Mathias, MorogoroWANDISHI waandamizi wa Vyombo vya Habari nchini,Wamemshutumu moja kwa moja Spika wa Bunge, Anne Makinda, wakimtuhumu kuwa kuwa anaongoza kudhalilisha Utu wa Wandishi na...
View ArticleKombani na Watawala nchini; Mjue Siri zote ni za Mungu
Na Bryceson MathiasNi Nia yangu kutaka kumfahamisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa Umma), Celina Kombani na Wanasiasa wengine wajua kuwa, hakuna siri yoyote chini ya Jua, ila Siri zote ni za...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA SHUGHULI YA UTOAJI VIFAA VYA KUONGEZA USIKIVU KWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013. (Picha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA KUJADILI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mfalme Mswati wa Swazland (ii) wakati walipokutana kwenye Mkutano wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AKITANA NA UONGOZI WA BENKI YA TIB IKULU LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika...
View Article