Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTERNATIONAL STUDENTS CULTURAL FESTIVAL‏‏‎

 Picha ya pamoja.Rais wa Chuo (East China Normal University) akimkabidhi Rais Dk. Jakaya Kikwete kitabu maalum chenye kumbukumbu ya baba wa Taifa Mwl. J. K Nyerere wakati wa tamasha la Utamaduni la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Wakazi wa Mtaa wa Makangira Msasani wakiwa katika foleni ya kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima leo. Wakazi wa Mtaa wa Makangira wakihakiki majina yao.Wakazi wa...

View Article


SIRI YA KUWAFUKUZA WAKAZI WANAOISHI KATIKA MSITU WA KAZIMZUMBWI YABAINIKA

SIRI ya mgogoro wa kutaka kuwafukuzwa wakazi wa vijiji vya Chanika wilayani Ilala jijini Dar es Salaa kwa madai kuwa wamevamia msitu wa Kazimzumbwi yabainika.Hayo yaliyasemwa na Mjumbe wa Kamati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SECURITYGROUP (T) LTD (SGA) WAFANYA USAFI KUADHIMISHA MIAKA 30 YA UTENDAJI...

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA), Eric Sambu akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kuufanyia usafi ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gwiji wa masuala ya mtangamano EAC afariki

Balozi Ndayiziga katika mojawapo ya warsha ya EAC hivi karibuni. Kulia ni mtaalamu wa habari na mratibu wa mafunzo ya wandishi wa habari EAC, Bw. Sukhdev Chhatbar.Mkufunzi katika Mafunzo hayo, Balozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI...

 Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na wa kwanza kushoto ni Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFURIKA KATIKA BANDA LA DEGE ECO VILLAGE, MLIMANI CITY- DAR

Muuzaji kutoka Hifadhi Builders Ltd akiongea na mteja kuhusu mradi wa Dege Eco Village jijini Dar es salaam hivi karibuni Adam Jusab, Afisa Masoko akihojiwa na waandishi wa habari hivi karibuni na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. REGINALD MENGI AZINDUA TASWE SACCOSS JIJINI DAR

Keki ya Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss), 'WEKEZA UVUNE'Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinondoni yajivunia kipaji cha Diamond

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akipokea kombe la ushindi wa kwanza katika kukimbiza mbio za mwenge kitaifa 2014, kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam,...

View Article


Coastal Union kukipiga na Mwadui FC ya Shinyanga

NA MWANDISHI WETU,TANGA MABINGWA wa soka Tanzania Bara mwaka 1988 Coastal Union “Wagosi waKaya”inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Mwadui yaShinyanga ikiwa ni sehemu ya maandalizi kwa timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA ATANGAZA VITUO VIWILI VYA UCHAGUZI KURUDIWA KESHO

Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Arusha, Juma Iddi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mitaa 2 itakayorudia uchaguzi siku ya kesho mtaa wa Osterbay kwa ngazi wa Mwenyekiti na...

View Article

News Up Date; Hamis Tambwe asaini Yanga, Maximo atimuliwa

Habari tulizozipata sasa hivi zinasema aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Hamis Tambwe amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu yake Mpya ya Yanga huku kocha mkuu wa timu hiyo Marco Maximo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA KUJIVUNIA UWANJA WA NDEGE WA KISASA

Meneja wa kiwanja hicho, Bw. Julius Mulungwana (Kulia) akifafanua jambo kwa Kiongozi wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamia wamzika Shem Karenga

 Baadhi ya wadau wa muziki wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Tabora Jazz, marehemu Shem Karenga wakati wa maziko yake yaliofanyika leo kwenye makaburi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YANAANZA DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA

 Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCMWataka wafugaji wamilikishwe ardhiWaitaka serikali kuboresha maisha ya wafugajiWataka wazawa wapewe kipaumbele zaidiWatoa salaam kwa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MZEE WILLIAM NGUMA

 Mzee William Gabriel Nguma enzi za uhai wake.Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi katika kijiji cha Makami Juu Kilema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI ZA LEO

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>