Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA ATANGAZA VITUO VIWILI VYA UCHAGUZI KURUDIWA KESHO

$
0
0
Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Arusha, Juma Iddi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mitaa 2 itakayorudia uchaguzi siku ya kesho mtaa wa Osterbay kwa ngazi wa Mwenyekiti na mtaa wa AICC utafanyika uchaguzi wa wajumbe wa viti maalumu.Uchaguzi huo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 73. (Picha na Ferdinand Shayo)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>