TTCL YAZINDUA PROMOSHENI MPYA
Meneja Bidhaa za Intanet wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Abdul Mombokaleo akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya...
View ArticleTIBAIJUKA AFUNGUKA KUHUSU FEDHA ZA ESCROW
NA CHALILA KIBUDA WA GLOBU YA JAMIIWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Profesa Anna Tibajuka amesema kuwa hawezi kujiuzulu katika nafasi ya uwaziri kutokana fedha ya Tegeta ESCROW.Akizungumza na...
View ArticleUTT-AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA MADAKTARI
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS katika mkutano Mkuu wa 47 wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) uliofanyika katika...
View ArticleKAMATI KUU YA CHADEMA YAKUTANA LEO
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa katika Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleKIWANDA CHA SUKARI KAGERA CHAZALISHA ZAIDI
Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakioneshwa mashine ya kumwagilia maji miwa ijulikanayo kwa kitaalamu kama Centre Pivot System. Na Saidi Mkabakuli,...
View ArticleKAJALA AKUNWA NA KUMWAGA MAHELA KWA WAIMBAJI WA SKYLIGHT BAND WANAOTOA...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.Digna Mbepera na Bela Kombo...
View ArticleVIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR
Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam...
View ArticleSHULE YA MSINGI MISUFINI YAFIKISHA MIAKA 4O,YAKABILIWA NA CHANGAMOTO...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YAWAHUKUMU WATU SITA KUNYONGWA HADI KUFA
Na Mwandishi WetuMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kunyongwa hadi kufa washitakiwa sita katika kesi ya mauji ya polisi na mafanyakazi wa NMB tawi la Wami Morogoro na kuiba kiasi cha...
View ArticleVILABU VYA SIMBA NA YANGA: TUMEJIPANGA VIZURI MZUNGUKO WA PILI WA LIGI KUU
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya timu hiyo kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inayotarajiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS NA MKUU WA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA DKT. MOHAMMED...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya Sayansi Uhandisi na...
View ArticlePROF. MAGHEMBE AZINDUA RIPOTI YA UTENDAJI WA MAMLAKA YA MAJI NA USAFI WA...
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua ripoti ya Utendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira za Mikoa na Miradi ya Kitaifa. Na...
View ArticleBeach Band Bonanza kutikisa ufukweni Kesho
Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu tamasha la burudani liitwalo 'Beach Band Bonanza' litakalofanyika kesho Jumamosi katika Ufukwe...
View ArticleCHADEMA WATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho...
View ArticleMATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Desemba 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam, imezingatia upungufu uliopo katika utekelezaji wa matumizi ya tiketi za...
View ArticleCATHERINE NGELESI APATA KIPAIMARA
Askofu wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kusini Kati Makete, Levis Sanga (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mtoto Catherine Ngelesi (katikati) mara baada kuongazo ibada ya ubarikio wa Sakramenti ya...
View ArticleCOASTAL UNION KUKIPIGA NA MOMBASA COMBAIN KESHO NCHINI KENYA
NA MWANDISHI WETU, TANGA TIMU ya Coastal Union “Wagosi wa Kaya”wanatarajia kusafiriki kuelekea nchini Kenya kesho kucheza mechi ya Kirafiki na Mombasa Combaini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WATOA MSAADA KWA WAFUNGWA WA KIKE WA GEREZA KUU LA...
Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Loyce Ruhembe akipokea rasmi msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na Wanahabari hao kwa ajili ya Wafungwa wa...
View ArticleSIMBA YAENDELEA KUTOA VIPIGO, YAICHAPA MWADUI YA SHINYANGA 3-1
Fair Play.Timu za Simba na Mwadui Utd zikiingia uwanjani wakati wa mchezo wa kirafiki iliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-1. (Picha na...
View ArticleWAIMBAJI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA KRISMAS MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO
Mwimbaji wa muziki wa injili Tumaini Njole akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa Tamasha la Pasaka litakalofanyika sikukuu ya Krismas tarehe...
View Article