Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MZEE WILLIAM NGUMA

$
0
0
 Mzee William Gabriel Nguma enzi za uhai wake.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwa mazishi katika kijiji cha Makami Juu Kilema Moshi. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo katika kijiji cha Kilema.
 Wanakwaya wa Kanisa la Kristo Mfalme Tabata wakiimba nyimbo za maombolezo.
 Wanafamilia.
Waombolezaji.
 Mtoto wa marehemu, Nguma (kulia).
Waombolezaji.
William Nguma.




Ndugu wa marehemu wakiwa wameshika mashada ya maua.
Mwili wa marehemu William Nguma ukipelekwa kwenye gari kwa ajili ya kuelekea Kanisani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>