ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI AKAMATWA DAR
Askari feki wa Usalama Barabarani ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi (hayupo pichani), mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya askari wa usalama...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MTUKUFU AGAKHAN IKULU DAR ES SALAAM, LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan,...
View ArticleGET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL WAKUTANA
GET TOGETHER 2004 UKONGA PRIMARY SCHOOL wakipiga picha ya pamoja walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10 ambapo walijadili masuala mbalimbali...
View ArticleKILICHOIPONZA TAIFA STARS
Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema moja ya sababu za kikosi chake kupoteza mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas) ni wachezaji wake kucheza kwa wasiwasi katika kipindi cha kwanza.Taifa Stars iliruhusu...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AZINDUA ALBAM YA "SHIKILIA PINDO LA YESU"...
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inyoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO...
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCViongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati...
View ArticleSIKIKA YAKANUSHA TUHUMA ZA MADIWANI, HALMASHAURI KONDOA DODOMA
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na...
View ArticleSHEREHE ZA NANE NANE-LINDI
Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakipata Elimu juu ya Uratibu wa Shughuli za Serikali katika Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu walipotembelea Banda hilo katika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima Nane Nane tarehe 3...
View ArticleKapunga FC Mabingwa kombe la Chifu Merere
NA KENNETH NGELESI, MBARALIMICHUANO ya soka ya Merere cup 2014 ilifikia tamati jana huku timu ya soka ya Kapunga FC kutoka kata Itambo ikiibuka bingwa na kuondoka na kombe baada ya kuichapa timu ya...
View ArticleVILAINISHI VYA GAPCO RELSTARALPHA 4T VYAZINDULIWA DAR
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania, Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakizindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu...
View ArticleREDD'S MISS KINONDONI 2014 KUFANYIKA AGOSTI 15 ESCAPE ONE
Washiriki wa shindano la Redd’s Miss Kinondoni 2014 wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Hotel ya Picolo jijini Dar es Salaam, Jumla ya warembo 20 wapo mazoezini kujiandaa...
View ArticleFainali za Safari Nationa Pool kuendelea wiki hii
FAINALI za mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mikoa zinazodhaminiwa na Kampuni ya Bia nchini(TBL) kupitia Bia yake ya Safari Lager zijulikanazo kwa “ Safari National Pool Competition 2014”...
View ArticleVETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI
Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya...
View ArticleWakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa...
View ArticleMitumbwi inayotumika hapa nchini imejengwa kienyeji-Sumatra
Na Kenneth Ngelesi, MbeyaMITUMBWI mingi inayo timika katika kusafirisha abiria sehemu mbalimbali hapa nchini katika mito,maziwa na bahari imejengwa kwa njia za kienyeji na kwa kutumia mbao ambazo si...
View ArticleArticle 4
Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa...
View ArticleArticle 3
Meya Kapunga akwepa lawama*Kifo cha ‘King’ wa Chadema chazua utata Na, Christopher Nyenyembe, Mbeya MSTAHIKI Meya wa Jiji la Mbeya,Athanas Kapunga amekanusha vikali lawama zinazotolewa dhidi yake juu...
View ArticleWanamichezo wa Tanzania warejea huku wakiijengea nchi heshima ya kuwa na nidhamu
Mwakilishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na baadhi ya Wanamichezo waliokuwa kwenye...
View ArticleWATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA...
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha...
View ArticleJaji Mkuu kuzindua Bodi Mpya ya MCT Agosti 7
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Agosti 7, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli...
View Article