
Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Edga Senga akipokea maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr. Florence Turuka kuhusu masuala ya Maafa alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika Mkoani Dodoma, Tarehe 3 Agosti, 2014.
Mratibu Msaidizi wa Tovuti ya TAYOA Bw. John J. Mindu akimweleza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florence Turuka kuhusu tovuti ya vijana ya vijanatz. Com inayoelezea masuala ya Biashara, Afya, Ajira kwa vijana ili waweze kujiendeleza, wakati alipotembelea Banda hilo katika Maonesho ya Wakulima NAne Nane tarehe 3 Agosti, 2014.