TANGAZO LA KIFO
Ndugu Michael Machellah anatangaza kifo cha Mtoto wake, Everlyne Michael Machellah kilichotokea katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Julai-22. Marehemu...
View ArticleAZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE...
Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited, Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata ftari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki kwenye...
View ArticleRungwe waasawa kuanzisha miradi ya ufugaji wa nyuki
Na Keneth Ngelesi, Rungwe WANANCHI waishio katika vijijini vilivyopo kando kando ya lango kuu la kuingilia Mlima Rungwe wameashwa kuwatumia watalaamu waliopo katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA EVERLYNE MACHELLAH
Katekista wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)Ibada...
View ArticleTAIFA STARS KUPIGA KAMBI MBEYA
Kikosi cha Taifa Stars kinatarajia kuondoka keshokutwa (Julai 24 mwaka huu) kwenda Mbeya ambapo kitapiga kambi ya wiki moja kujiandaa kwa mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji.Mechi hiyo ya raundi ya...
View ArticleKOMBE LA KAGEMA, YANGA KUANZA NA RAYON
CECAFA KAGAME CUP 20149TH– 25TH AUGUST 2014 – RWANDAFIXTUREGROUP A GROUP B GROUP CRAYON FC (RWA)...
View ArticleWAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, KAZI MAALUM, PROFESA MARK MWANDYOSA AFANYA...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), akifafanua wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya Makao Makuu ya...
View ArticleBREAKING NEWS... NYUMBA YA RAIS WA TFF YATEKETEA KWA MOTO
NA CLEZENCIA TRYPHONERAIS wa Shirikishola Soka Tanzania (TFF), Jamali Malinzi (Pichani), ameunguliwa na nyumba yake, mjini Bukoba jioni ya leo.Akizungumza na Habari Mseto Blog leo, Malinzi amesema,...
View ArticleAPIGWA SHOKA KICHWANI KWA TUHUMA ZA KUTEMBEA NA MKE WA MTU
Mkazi wa jijini Mwanza akiwa amelazwa katika hospitali ya Bugando baada ya kupigwa shoka kichwani kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu. Mkazi wa jijini Mwanza akiwa amelazwa katika hospitali ya...
View ArticleWachuuzi wa Ufuta Mbeya wakiri kuchanganya na Mchango
Na Keneth Ngelesi, MbeyaWAKULIMA wa zao la Ufuta katika Wilaya za Mbozi na Chunya Mkoani Mbeya wameitaka Serikali kutoa bei elekezi ya zao hilo badala ya kuachia kazi hiyo makampuni makubwa ambayo...
View ArticleMEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibar kilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 45 ZA KISIMA KIJIJI CHA KAMBI YA SIMBA KARATU
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Damian John wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MASHUJAA KUFANYIKA JULAI 25
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), litaadhinisha kumbukumbu ya Mashujaa tarehe 25 Julai 2014 kuanzia saa 2:00 asubuhi katikaViwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es...
View ArticleWAHANDISI TANESCO WAFUNDWA UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO
Msimamizi wa mafunzo hayo Meneja wa Kitengo cha Usalama Kazini ambao ndio waandaji Mhandisi Majige Mabulla akiwakaribisha washiriki na kuelezea namna ambavyo mafunzo hayo yataendeshwa kwa nadharia na...
View ArticleMAANDALIZI YA NANENANE YASHIKA KASI KANDA YA KASKAZINI
Mkulima Prisca Lokweni akieleza juu ya zao la alizeti na faida zake kiuchumi, zao hilo linatumika kutengeneza mafuta ya kupikia pia linahimili ukame ,akiwa katika vipando vya kampuni ya kuzalisha...
View ArticleNHC YATOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA KUUNDIWA ZENGWE MKURUGENZI MKUU WA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe akifafanua jambo jijini Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa za kuundiwa zengwe kwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Nehemia Mchechu...
View ArticleTASO KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu ushirikiano wa kampuni hiyo na Umoja wa Wakulima Tanzania (TASO),...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN
GavanawaBenkiKuuya Tanzania,Prof.Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai...
View Article