Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

TAARIFA KWA UMMA

$
0
0


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI
WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)

Telegrams TEMESA DSM                                                                      S.L.P  70704
Simu: +255-22-2862796/97                                                                       DAR ES SALAAM
Fax:   +255-22-2865835                                                                                         TANZANIA





Mtendaji  Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinataraji wa kwenda kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.


Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa kutumia vivuko vya MV.

Magogo ni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.


Uongoziwa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu

TEMESA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>