Wakazi wa Pugu Kinyamwezi Mkoa wa Pwani, wakisikiliza ushauri kutoka kwa Katibu waliomtehua wa kufatilia huduma ya Umeme, Lucas Maira wa kwanza (kushoto), Wakazi hao wamekosa huduma hiyo toka mwaka 2011 tangu walipo hamishwa kutoka Kigilagila kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere.