SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUBORESHA HUDUMA ZA RELI, BARABARA,...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa wawekezaji wa sekta binafsi (CEO Round Table Dinner) uliofanyika juzi usiku...
View ArticleRAIS SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchin Tanzania Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo...
View ArticleGOETHE INSTITUT-TANZANIA INVITE YOU TO AN OPEN STAGE NIGHT
On our OPEN STAGE NIGHT we invite you to perform. Whatever your talents might be, everyone is welcome to show them on stage. Please register now by sending us an e-mail or call us.E-mail:...
View ArticleREDD's MISS TANZANIA YAISHUKURU JAMII
MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency na Mratibu wa shindano la Urembo la Redds Miss Tanzania 2013, Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni...
View ArticleMSONDO, CHE MUNDUGWAO, KING NAJUTO KUPAMBA MISS UTALII 2013 MKWAKWANI JUMAPILI
Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2013 wakiwa katika Picha ya PamojaTANGA, TanzaniaBaada ya shamrashamra na mapokezi makubwa ya Miss Utalii Tanzania walipoingia jijini Tanga na kupokelewa na umati mkubwa...
View ArticleBALOZI ANAYESHUHULIKIA MASHIRIKIANO YA NCHI MBAILI WA DENMARK
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofikaIkulu Mjini...
View ArticleCCM NI WAUMINI WA FALSAFA YA 'MKUKI KWA NGURUWE'
Na Bryceson MathiasMARA kadhaa tumesikia,Chama cha Mapinduzi (CCM), kimekuwa na tabia ya kuwakumbatiia viongozi wake wanaobainika na maovu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutosoma mapato na matumuzi kwa...
View ArticleKIM ATAJA 26 STARS WA KUIVAA MOROCCO
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen leo (Mei 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiwinda kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco itakayochezwa Juni 8...
View ArticleDIAMOND, NEY WA MITEGO KUZINDUA VIDEO 'MAPENZI GANI' DAR LIVE JUMAMOSI
DAR ES SALAAM, Tanzania"Uzinduzi huu pia utatumika kusaka muziki upi na msanii yupi mkali anayekubalika kupitia staili zao za Hip Hop na Bongo Fleva, ambapo kupitia uzinduzi wa video ya Mapenzi Gani,...
View ArticleJULIANA KANYOMOZI AKANA NDOA NA JAJI WA TUSKER PROJECT FAME
Majaji wa shindano la Tusker Project Fame, Ian Mbugua kushoto, Juliana Kanyomonzi, na Hermes Bariki wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kinyang'anyiro hichoKAMPALA, Uganda“Sijawahi kuwa na...
View ArticleSHEKHE ANG'AKA: ASEMA CHADEMA SIO CHAMA CHA WAKRISTO
Na Bryceson Mathias, DodomaSHEKHE wa Msikiti wa Nunge, mjini hapa, Shabani Kitilla, amewajia juu watawala na Viongozi wanaopotosha ukweli, akipinga kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) si...
View ArticleRIPOTI YA MATUMIZI YA RASILIMALI YAZINDULIWA
Na Mwandishi WetuSERIKALI imetakiwa kujenga utawala bora katika kusimamia rasilimali kama vile madini, mafuta na gesi asilia kwa lengo la kuwanufaisha wananchi.Akizungumza na wandishi wa habari katika...
View ArticlePRADO TX FOR SALE
PRADO TX IN GOOD CONDITIONModel: 1997 Millage: 115,000kmCc 3000Engine 1KZ Diesel,Color: Green 2 toneTransmission: AT5doors, 8passengers, AC, PS, PW, AL, ABS.Price: Tsh 19m/- NegotiableTEL:...
View ArticlePAZIA LIGI KUU YA VODACOM KUFUNGWA JUMAMOSI
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu (2012/2013) inafikia tamati kesho (Mei 18 mwaka huu) kwa timu zote 14 kupambana katika viwanja saba tofauti.Mechi zote zitachezwa...
View ArticleMIFUKO YA HIFADHI YA JAMII PAMOJA NA SSRA YATOA MISAADA KATIKA WODI YA WAZAZI...
Mkuu wa Kitengo cha uhusiano bi Sara Msika akikabidhi msaada wa shuka 100 na magodoro 30 katika wodi ya wazazi ya chikandeMkuu wa kitengo cha uhusiano cha SSRA Bi Sara Msika akiwa amembeba mmoja kati...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA WIKI YA HIFADHI YA JAMII
Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Bima ya Afya, Grace Michael akimpa maelekezo juu ya shughuli za mfuko Mwenyekiti wa Bodi ya SSRA, Jayne Nyimbo Mmoja kati ya watu walihudhuria maonesho hayo...
View ArticleRais Kikwete aongoza Sherehe za maadhimisho ya mifuko ya jamii
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau na viongozi wa mifuko ya hifadhi ya jamii wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Mifuko hifadhi ya ya jamii iliyofanyika mjini...
View ArticleWAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI SSRA WALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO...
Mjumbe wa bodi ya Wadhamini SSRA, Kabeho Solo akisaini kitabu cha wageni wakati wajumbe wa bodi hiyo walipotembelea banda la NSSF. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Miradi na Uwekezaji, Gerlad Sondo na Ofisa...
View ArticleThamani ya Fedha Kenya 'Yawaachisha' Shule Wanafunzi Rombo
Hizi ni baadhi ya njia zisizo rasmi kwenda nchini Kenya zilizopo eneo la Rongai, Rombo Sehemu ya Soko la Tarakea, Rombo. Soko hili ni miongoni mwa masoko yaliopo jirani na mpakani wa Kenya na Tanzania...
View ArticleWANAKIJIJI WAMKATAA MWENYEKITI WAO
Na Bryceson Mathias, MorogoroWananchi wa Kijiji cha Makamba-Kidatu Mkoani Morogoro wamemkataa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji chao, Ndenda Tidi na Halmashauri yake, ambapo tangu 10.3.2012 waligomea...
View Article