TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425PRESIDENT’S OFFICE,...
View ArticleSIMBA MBENDEMBENDE KWA YANGA YACHAPWA 2-0
Beki wa Simba, Musa Mudde (kushoto) akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo....
View ArticlePOLISI NA KASHFA RUSHWA
Na Mwandishi WetuBAADHI ya polisi wa Kituo kidogo cha Sitakishari Ukonga wailayani Ilala wanadaiwa kuacha kumfungulia jalada la kesi mwizi wa viroba 71vya unga wa sembe, kumjeruhi muuzaji wa duka la...
View ArticleTABOA KUKUTANA NA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO
Na Mwandishi WetuCHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kinatarajia kukutana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), leo ili...
View ArticleWAISLAM NA WAKRISTO WATAKIWA KUSHIRIKIANA
Na Shehe SemtawaWAUMINI wa dini za Kiislam na Kikristo nchini wametakiwa kushirikiana katika kazi mbalimbali zitakazosaidia kuinua pato la mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa...
View ArticleWaraka kuhusu muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2013
Mtakumbuka kwamba mwezi Januari 2013 nilitoa taarifa kwa umma ya kueleza kuwa niliwasilisha kwa Katibu wa Bunge Muswada Binafsi wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa na kuomba hatua za ziada toka...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkrugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau wakati alipowasili kwenye maonesho ya Wiki ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii mjini...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA KUJIUNGA NA MFUKO WA AKIBA WA GEPF KATIKA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu ya uanachama na kujiunga rasmi katika mpango wa hiari wa kujiwekea akiba katika mfuko wa GEPF akishuhudiwa na Meneja wa Masoko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina....
View ArticleNzera Redds Miss Kibaha 2013
Na Mwandishi WetuALIYEKUWA mshiriki namba 6 katika shindano la kumsaka Redds Miss Kibaha 2013 Nzera Kitano ameibuka kua Redds Miss Kibaha 2013 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa...
View Article'Serikali ya Kikwete bado inateswa na Udini'
Askofu Dk. Jacob Erasto Chimeledya (56) akisimikwa kuwa askofu wa Kanisa la Anglikani.Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimpongeza Askofu Mpya wa Kanisa la Anglikani Askofu Dk....
View ArticleViongozi wasing’ang’ani Madaraka
Na Bryceson Mathias KATIKA Milo na Ustawi wa Mtu, zipo aina tatu za kutosheka, Kushiba, Kuvimbiwa na Kukinai. Na ndani ya Kutosheka, kuna Kulewa Shibe, Kuvimbiwa na Kukinai, ambako kwa Ujumla wake...
View ArticleTASWA FC YAWACHAPA FULL MABONDIA FC 2-1, WAKIWA NA MASHALI, MIYEYUSHO,...
Kikosi cha Taswa Fc, TIMU ya Taswa Fc jana iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Full Mabondia, inayoundwa na mabondia mahiri wa Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilikutana katika mchezo wa...
View ArticleMADEE AMPONGEZA DOGO JANJA
Na Elizabeth JohnKIONGOZI wa Kundi la Tip Top Connection, lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmed Ally ‘Madee’, amesema amevutiwa na kazi ya msanii nyota katika muziki wa kizazi kipya...
View ArticleMPOKI AWACHAMBUA WASICHANA
Na Elizabeth JohnMCHEKESHAJI wa Kundi la Original Comedy ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mujuni Sylivester ‘Mpoki’, anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni inayokwenda...
View ArticleSUMA LEE AJIPANGA UPYA
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ismail Seif ‘Suma Lee’ amesema yupo katika hatua za mwisho za kuandaa kazi yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la...
View ArticleRIADHA WAJIPANGA KUCHAGUA TIMU YA TAIFA YA VIJANA
Na Elizabeth JohnMASHINDANO ya Wazi ya Mchezo wa Riadha, yanatarajia kuendelea kutimua vumbi Mei 25 mkoani Dodoma baada ya kufanyika wiki iliyopita mkoani Arusha na jijiji Dar es Salaam.Mashindano hayo...
View ArticleMchungaji Peter Msigwa afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za uchochezi
Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), akishuka katika gari la Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Mkoa leo akikabiliwa na tuhuma za uchochezi. Askari wa Kikosi cha...
View ArticleFlaviana Matata kushiriki katika Misa ya kumbukumbu ya MV Bukoba
Na Mwandishi WetuMwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata leo atashiriki katika misa maalum ya kuwakumbuka watanzania waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba mwaka 1996.Misa hiyo...
View ArticleNSSF YASHINDA KOMBE KATIKA MAONESHO YA KIBIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA
Mrs Eunice Chiume, Meneja Kiongozi wa Uhusiano na huduma kwa Wateja mara baada ya kukabidhiwa Kikombe cha Ushindi wa Kwanza katika kundi la Utoaji Huduma Kwa Jamii, Kutoka kwa Mhe. Dr. Abdallah Kigoda,...
View Article