Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

BALOZI ANAYESHUHULIKIA MASHIRIKIANO YA NCHI MBAILI WA DENMARK

$
0
0


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento, (hayupo pichani) (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento, (kushoto)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>