Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

RAIS SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchin Tanzania  Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania  Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania  Zakaria Anshar, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>