MAOFISA WA JESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI GHANA WATEMBELEA TBL DAR
Maofisa wa Jeshi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha Ghana, wakitembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, kwa lengo la kujenga ushirikiano katika nyanja za Sayansi,...
View ArticleWANYWAJI WAPINGA VIROBA KUPIGWA MARUFUKU
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam hivi karibuni. Na Mwandishi...
View ArticleWIKI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KATIKA PICHA
Wajumbe wa Bodiya SSRA wakiwa katika viwanja vya monyesho vya Nyerere Squaremjini Dodoma kutoka kushoto ni JumaMuhimbi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi Irene Isaka, Bi Jayne Nyimbo na Kabeho Solo. Mkuu wa...
View ArticleAIRTEL YATOA VITABU VYA MILIONI 18 ZANZIBAR
Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar , Brighton Majwala (kushoto) akikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomo ya sayansi kwa Ofisa Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi, Hatibu Tabia Muhsin...
View ArticleMICROSOFT, UHURU ONE WAANZA MAJARIBIO YA TEHAMA
Mkurugenzi wa Masuala ya Sheria na Uhusiano wa Microsoft Africa, Louis Otieno, Louis Onyango Otieno akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mihayo...
View ArticlePinda achangia Umoja wa Kinamama KKKT Mizinga 100 ya Nyuki
Na Bryceson Mathias, Ndzuguni Dodoma WAZIRI Mkuu Mizengo Peter Pinda, Jumapili, Mei 12, aliuchangia Umoja wa akina Mama wa Dayosisi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mizinga 100 ya...
View ArticleChadema yavuna 150 Ngh’umbi-Kongwa
Na Bryceson Mathias, Ngh’umbi - KongwaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Ngh’umbi Wilaya ya Kongwa, Kimevuna Wananchama 150 katika Kampeni ya Mabadiliko (M4C), yaliyoanzishwa na...
View ArticleBarua kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dkt. Abdallah Kigoda
PENDEKEZO BINAFSI LA MBUNGE KUHUSU KUZUIA UNYONYAJI DHIDI YA WASANII WA TANZANIA KATIKA BIASHARA YA MIITO (RING BACK TONES) Kwenda kwa: DR ABDALLAH KIGODA, Waziri wa Viwanda na Biashara...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali...
View ArticleRais Kikwete afungua mkutano wa Maendeleo ya Kilimo Barani Afrika
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria Mkutano utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya...
View ArticleKKKT Dodoma kutumia Mil.346/- kujenga msingi wa ofisi ya Dayosisi
Na Bryceson Mathias, Dodoma DAYOSISI ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dodoma, inatarajia kutumia Shilingi Milioni 346,812,656/- ili kujenga Msingi wa Ujenzi wa Ofisi ya Dayosisi...
View ArticleRais Kikwete akutana na Mwenyekiti wa Direct AID Charity Organisation ya Kuwait
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Dkt.Abdul RahmanAl Muhailan ambaye ni mwenyekiti wa asasi ya Direct AID Charity Organisation leo (picha...
View ArticleKIINGILIO MECHI YA SIMBA, YANGA 5,000/-
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Yanga itakayochezwa Jumamosi (Mei 18 mwaka huu) kitakuwa sh. 5,000. Kiingilio hicho kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo...
View ArticleROBERTO MANCINI ATIMULIWA RASMI MANCHESTER CITY
Roberto ManciniMANCHESTER, EnglandKocha Msaidizi Brian Kidd, atakiongoza kikosi hicho kuelekea mwisho wa msimu huu na baadaye ziara ya maandalizi ya msimu ujao, itakayofanyika huko Marekani kuanzia...
View ArticleFAINALI EUROPA LEAGUE: NI KIAMA CHELSEA VS BENFICA LEO
LONDON, ENGLAND "Hakika, Chelsea inapewa nafasi kubwa kutwaa ubingwa kutokana na ughali wa kikosi chake na uzoefu wa wachezaji, lakini kwa maoni yangu, kimbinu, wachezaji wa Benfica ni bora zaidi...
View ArticleMamlaka ya udhibiti na usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) pamoja...
Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka akifungua rasmi semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na SSRA na Mifuko ya Hifadhi ya jamii Mkurugenzi Mkuu wa SSRA BI Irene Isaka akijibu baadhi...
View ArticleSHEKHE Ang’aka; Asema Chadema si Chama cha Wakristo.
Na Bryceson Mathias, DodomaSHEKHE wa Msikiti wa Nunge Dodoma, Shabani Kitilla, amewang’akia watawala na Viongozi wanaopotosha ukweli, akipinga kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) si Chama...
View ArticleRais Kikwete atembelea Viwanda vya BIDCO Oil na AZAM Buguruni
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa wakizindua mpango wa kuweka virutubisho vya lishe bora katika bidhaa za unga na mafuta nchini...
View ArticlePSPF YANG'ARA KATIKA WIKI YA HIFADHI YA JAMII DODOMA
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa hiari wa PSPF Bi. Zuhura Lwamo akipokea fomu ya usajili ya Mpango huo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA ndugu Irene Isaka baada ya Mkurugenzi huyo kujisajili katika...
View Article