YANGA, AZAM KUVAANA NGAO YA JAMII J’MOSI
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Yanga na makamu bingwa Azam wanavaana keshokutwa (Jumamosi) kwenye mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa...
View ArticleWORKSHOP FOR CYBER DEFENCE EAST AFRICA 2013
1: Critical Security Controls trainingCritical Security Controlscompiled by a consortium of more than 100 contributorsUS government agencies, global commercial forensics experts and penetration...
View ArticleWAKILI WA PONDA ANENA-PONDA YUPO GEREZA LA SEGEREA
Wakili wa Sheikh PondaDAR ES SALAAM, TanzaniaWakili wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi mpya ya kufanya uchochezi katika...
View ArticleFAMILIA YALAANI KUTOLEWA KWA SHEIKH PONDA HOSPITALI
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (wa pili kulia), ambaye kwa sasa anakabiliwa na tuhuma za uchochezi, akitolewa katika taasisi ya mifupa MOI, kuelekea katika gereza la...
View ArticleKUMBUKUMBU
FAMILIA ya BRIGEDIA GENERAL, JANUARY NYAMBIBO hatutaacha kukukumbuka kwa sala na maombi wakati wote baba yetu mpendwa uliyetutoka ghafla Agosti 15, 2008 na kuzikwa Agosti 18 katika Makaburi ya...
View ArticleWITO WA WANANCHI KWA BUNGE NA SERIKALI KUHUSU TOZO/ KODI YA LAINI YA SIMU
Hivi karibuni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipitisha muswada wa sheria ya fedha iliyosainiwa na rais Jakaya Kikwete na kuanza kutumika kama sheria kuanzia tarehe 01 August 2013. Sheria hii...
View ArticleMISS TANZANIA BEAUTY PAGEANT USA KUFANYIKA DECEMBER WASHINGTON DC
ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904
View ArticleSWAHILI RADIO KUANZA KURUSHA MATANGAZO HEWANI HIVI KARIBUNI KUTOKEA JIJINI...
Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati wa majaribioMkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribioBwana DMK akiendelea na...
View ArticleFeza Kessy aanika ya Big Brother Africa
Feza akihojiwa na IK siku alipotolewa BBAFeza Kessy Na Andrew Chale“UTAMADUNI wa Kitanzania umenisaidia kuiwakilisha vyema nchi yangu kwenye shindano la Big Brother Africa ‘The Chase’ na kujifunza...
View ArticleRT yawaita wadhamini mashindano ya taifa
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka, akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), juu masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya mchezo huo, kwenye ukumbi wa Baraza...
View ArticleNSSF YAWANOA WAFANYAKAZI WA SEKTA ISIYO RASMI DAR
Ofisa Uendeshaji Mwandamizi wa Sekta Isiyo Rasmi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Khalfan akifafanua jambo kuhusu huduma wanazotoa wakati wa uzinduzi wa Ushirikiano wa Kikazi kati...
View ArticlePAMBANO LA YANGA NA AZAM KATIKA PICHA
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akipokea ngao ya Jamii kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick wakati wa mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
View ArticleMchungaji aliyevuliwa uongozi na Chadema ni wa Kondoo au Mbuzi?
Na Bryceson Mathias YESU aliwaambia Wanafunzi na Wafuasi wa njia hii ni hiki. “Amin, amin, nawaambieni, Yeye asiyeingia mlangoni katika zizi la kondoo, lakini akwea penginepo, huyo ni mwivi naye ni...
View ArticleMaazimio ya Kamati za Bunge -Wabunge: Serikali itumie risiti za elektroniki
Mh. Zitto KabweMajor Highlights1.) Kutokana na kutokuwepo na taarifa sahihi kuhusu deni la Taifa kuna umuhimu wa kukutanisha wadau wakuu wanaohusika hususani BOT, HAZINA, Kamati za Bunge na CAG ili...
View Article25 WACHUKUA FOMU UCHAGUZI TFF
Wanamichezo 25 wamechukua fomu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27 mwaka huu.Fomu hizo zilianza kutolewa...
View ArticleCHADEMA NA MIKUTANO YA MABARAZA HURU YA KATIBA MPYA
Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamevalia nguo za kimapambano wakati wakilinda mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleRais Kikwete ampongeza Dkt.Taxi kwa kuchaguliwa katibu Mtendaji SADC
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dk.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho...
View ArticleKLABU ZA EPL, FDL DAR ES SALAAM ZAPIGWA MSASA
Mgeni Rasmi wa Semina Elekezi ya Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Azzan Zungu, akifungua semina hiyo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa na kushirikisha klabu nne Ligi Kuu na saba za Ligi...
View Article