Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

CHADEMA NA MIKUTANO YA MABARAZA HURU YA KATIBA MPYA

$
0
0
 Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamevalia nguo za kimapambano wakati wakilinda mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa katika eneo la Kiomboi, Wilaya ya Iramba, Singida. (Na Mpiga Picha wetu)  
 Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Muleba mkoani Kagera, wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika kwenye Uwanja wa Red Cross (Picha na Joseph Senga) 
 Sanjenti mstaafu akitoa maoni Kiomboi-Singida.
Dk. Slaa akihutubia mkutano-kiomboi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>