TAMASHA LA KILI MUSIC TOUR 2013 JIJINI MWANZA
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika...
View ArticleMpango wa Taifa wa Damu salama wavuka lengo
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Bw. Rajab Mwenda akizungumza na waandishi wa habari kutoa takwimu za makusanyo ya damu kwa mwezi Aprili mpaka Juni mwaka huu ambapo ulivuka...
View ArticleRais Kikwete awasili Dar es Salaam akitokea Malawi
Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena Tax kwa kuchaguliwa kushika wadhifa huo wakati wa mkutano mkuu wa 33 wa viongozi wa nchi za SADC uliofanyika...
View ArticleBONDIA IDDY MNYEKE AMTWANGA MWALIMU ALONI KWA POINTI
Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika manzese mwishoni mwa wiki iliyopita. Picha na Super D.Bondia Iddy...
View ArticleArticle 4
Registration is NOW open for CISA and CISM Review Class for the forthcoming CISA exam on 14th December, 2013. Our Reviews are due to begin on Monday 2nd September, 2013 to Thursday 17th October, 2013...
View ArticleMsama yaingiza sokoni albamu tatu za injili
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya Msama Promotions imeingiza sokoni albam tatu za nyimbo za injili. Albam hizo zinapatikana kwenye maduka ya Msama Music Centre Jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa...
View ArticleMkazi wa Kigoma ashinda gari la kwanza la tamasha la fiesta
Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya push Push Media Mobile Rugambo Rodney akimkabidhi namba ya gari/funguo mshindi wa kwanza wa gari aina ya Vitz iliyoendeshwa na kampuni hiyo kwa mashabikwa fiesta wa...
View ArticleMsama Promotions kumwaga madawati Kinondoni
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya Msama Promotions imejipanga kutoa madawati kwa shule mbalimbali za msingi zilizoko Wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam kabla ya mwaka 2014.Akizungumza na gazeti hili...
View ArticleNSSF YAZINDUA KAMPENI YA MALARIA
Balozi wa Malaria ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodger Tenga akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ugonjwa wa malaria iliyofanyika jijini Dar es Salaam....
View ArticleCHADEMA yamtaka Waziri Makala asikumbatie watuhumiwa wa Ufisadi
Na Bryceson Mathias, MvomeroDIWANi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Nyandira wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, amemtaka Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,...
View ArticleRasimu ya Katiba; Dk. Slaa awageukia Viongozi wa Dini
Wanafunzi wakiishangaa helkopta ya Dk. Wilbroad Slaa ikishuka katika Uwanja wa Wajenzi Dodoma.Na Bryceson Mathias, DodomaKATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa,...
View Article24 WAITWA TAIFA STARS KUIVAA GAMBIA
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu nchini humo.Wachezaji hao...
View ArticleRAIS ATUNUKU HATI IDHINI KWA VYUO NANE NCHINI
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Vyuo Vikuu mara baada ya kuwatunuku hati Idhini Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Habari Mseto Blog) Na Immaculate Makilika-...
View ArticleSAHRINGON yazifunda Asasi za Kiraia Tanzania
Na Salum MkandembaMRATIBU Taifa wa Mtandao wa Mashirika ya Haki za Binadamu Kusini mwa Afrika (SAHRINGON Tanzania), Martina Kabisama, amezitaka Asasi za Kiraia nchini kusaidia Watanzania katika...
View ArticleWANARIADHA WAANZA KUIPA MEDALI POLISI TANZANIA NCHINI NAMIBIA
Mshindi wa kwanza katika mbio za mita 10000 kwa Wanaume Fabian Nelson (Tanzania) katika Michezo ya Umoja wa wakuu wa Polisi kwa Nchi za kusini mwa Afrika (SARPPCO) Nchini Nambia akishangilia na...
View ArticleHATI ZA KUMILIKI ARDHI ZITOLEWE UPYA, ZA DIJITALI NA ZIHUSISHWE NA NAMBA YA...
Kamati ya Hesabu za Serikali imekutana na Wizara ya Ardhi kwa madhumuni ya kupitia Hesabu za Wizara kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 2012. Changamoto za Wizara ni nyingi sana na Mdhibiti na Mkaguzi...
View ArticleHUU NI WIZI MTUPU, HALMASHAURI MNAHUSIKA AU HAMJUI????
Na www.sufianimafoto.comMfanyakazi wa Inayojiita kampuni ya kukusanya Ushuru ya Mtaa wa Oysterbay Beach Parking, ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika risiti ya ushuru wa maegesho ili kuweka...
View ArticleMwenge uzimwe uwekwe Makumbusho ya Taifa?
‘Kupanga ni kuchagua!’ Na Bryceson Mathias Kutokana na Matukio ya Uovu, Kashikashi, Karaha Vitisho na Usumbufu wanaoupata Wananchi kuhusu kuchangia mbio za Mwenge, wanasiasa wenye mtazamo chanya...
View Article