$ 0 0 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza katibu Mtendaji mpya wa SADC Dk.Stergomena Tax wakati wa kikao cha 33 cha wakuu wa nchi za SADC kilichofanyika jijini Lllongwe Malawi leo kikao hicho kimeisha leo.(Picha na Freddy Maro)