MASHINDANO YA MIJADALA YA SHULE ZA SEKONDARI MWANZA KUANZA SEPT. 2
Mkurugenzi wa Stopper Entertainment, Mukhsin Mambo,(katikati) akifafanua jambo kuhusiana na Mashindano ya Shule za Sekondari(Interschools Debate Compatations) katika Semina iliyofanyika kwenye...
View ArticleDiwani wa Chadema atangaza vita na Mwenyekiti wa CCM na CUF
Na Bryceson Mathias DIWANI wa Kata ya Mtibwa wilayani Mvomero wa Chama cha CHADEMA, Luka Mwakambaya, ametangaza vita na Mwenyekiti wa Chama Tawala (CCM), Seif Sekilojo, Mwenyekiti wa Chama cha CUF,...
View ArticleREDD'S MISS ILALA IS AROUND THE CORNER
Warembo wanaotarajia kushiriki Redd's Miss Ilala, wakiwa wamepozi wakati wa mazoezi kwenye Mgahawa wa Billicanas, Dar es Salaam, tayari kwa mashindano yatakayofanyika Ijumaa kwenye Ukumbi wa Golden...
View ArticleKAMATI KUTANGAZA MCHAKATO WA UCHAGUZI TFF
Mchakato wa uchaguzi wa kamati mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unatarajiwa kutangazwa kesho (Agosti 13 mwaka huu).Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Hamidu...
View ArticleMBEYA YETU BLOG YAPATA TUZO
Hii ndiyo hati ya Ushindi tuliyopewa na TASOKaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawilo aliye simama Mbele akipokea Maelezo ya Kina juu ya Mbeya yetu Blog...
View ArticleWORKSHOP FOR CYBER DEFENCE EAST AFRICA 2013
1: Critical Security Controls trainingCritical Security Controlscompiled by a consortium of more than 100 contributorsUS government agencies, global commercial forensics experts and penetration...
View ArticleWLADIMIR KLITSCHKO KUMVAA ALEXANDER POVETKIN OKTOBA 15
MOSCOW, RussiaBINGWA wa masumbwi duniani katika uzani wa WBA, Wladimir Klitschko (pichani), anatarajia kupanda ulingoni kumvaa bondia asiyepigika raia wa Russia, Alexander Povetkin.Pambano baina ya...
View ArticleWASHINDI WA AIRTEL YATOSHA WAPEWA ZAWADI ZAO MJINI DODOM
Afisa masoko wa Airtel Hendrick Werner (kushoto) wakifurahia wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi pesa taslimu shilingi milioni moja, Siasa Yahaya (katikati)aliyeibuka mshindi kupitia promosheni maalumu...
View ArticleMada ya Zitto Kabwe kwenye mafunzo ya Kamati za Mahesabu
Zitto KabweMambo ya kuzingatiwa na Kamati za Bunge katika kusimamia fedha na Rasilimali za Umma Zitto Kabwe Utangulizi Katika madaraka yote ambayo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kwa...
View ArticleLHRC Yahamasishaji Ushiriki Mchakato wa Rasimu ya Katiba Mpya Mvomero
Baadhi ya wafanyabiashara vijana wa Kata ya Doma-Mvomero wakijadili rasimu ya katiba mpya pamoja na wawezeshaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) hivi karibuni Wanakijiji wa Kijiji cha...
View ArticleCCM yaogopa kwenda kwenye Uchaguzi Bukoba
DAR ES SALAAM, TanzaniaChama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimepinga uamuzi wa kuwafukuza madiwani nane wa Chama hicho na kuwaondoa nyadhifa zao uliofanywa na Chama hicho katika Mkoa wa Kagera waliokuwa...
View ArticleDIMPOZ AJIPANGA KUACHIA ALBAMU YAKE MPYA
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ anajiapanga kuachia albamu yake ya kwanza ambayo bado hajaipatia jina kutokana na ubora wa nyimbo ambazo zipo ndani...
View ArticleLINEX AISAMBAZA VIDEO YA 'KIMUGINA'
Na Elizabeth John MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Sunday Mangu ‘Linex’, anatarajiwa kusambaza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kimugina’ hivi karibuni.Linex kwa sasa anatamba na kazi...
View ArticleASKARI BANDIA WA USALAMA BARABARANI AKAMATWA DAR LEO
Askari Bandia wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyekamatwa leo mchana maeneo ya Kinyelezi Mnara, Tabata jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya sare zake mara baara ya kukamatwa. Askari huyu feki...
View ArticleUCHAGUZI MKUU WA TFF SASA OKTOBA 20
Rais anayemaliza muda wake, Leodegar Tenga.DAR ES SALAAM, TanzaniaKAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa TFF na ule wa Bodi ya Ligi Kuu (TPL...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA MIKOPO YA NYUMBA 'JIJENGE'
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa wakati wa uzinduzi wa mikopo ya nyumba ijulikanayo kwa jina ya ‘Jijenge’ itakakayoanza kutolewa na benki hiyo. Uzinduzi...
View ArticleMbowe amenikumbusha kitu! Wewe amekukumbusha nini?
Na Bryceson Mathias MPIGANAJI mahiri wa Demokrasia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, hivi karibuni alisema kauli nzito ambayo mmoja wa Mitume Wakuu wa kutetea Ufalme wa...
View ArticleSWAHILI TV EXCLUSIVE INTERVIEW WITH ARMY NANDO MSHIRIKI TOKA TANZANIA...
Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California,...
View Article