Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE NNAUYE ATEUA KAMATI YA KUHAMASISHA USHINDI KWA SERENGETI BOYS...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameteua Kamati Maalum ya Hamasa kuelekea Mashindano ya AFCON chini ya umri wa miaka 17 yatakayofanyika mwezi May 2017 nchini Gabon...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRICA JOB CENTER KUWANUFAISHA WATANZANIA KATIKA KUPATA AJIRA

Msemaji wa Kampuni ya Africa Job Center, Doris Godfrey, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu fursa za ajira zinazopatikana kupitia kampuni hiyo. Kushoto ni Mwakilishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KATIKA KANISA KATOLIKI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA TISA WA WADAU WA LAPF

 Meneja Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe (wa pili kulia), akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini kuhusu mkutano na wa tisa wa wadau wa LAPF...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MAREHEMU JOHN KOMBA ATOA WIMBO KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA...

NA BASHIR NKOROMOIkiwa sasa ni takriban miaka miwili tangu aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT), Kampteni John Komba, kufariki Dunia, Mtoto wake Gerald John Komba, ameibuka na kutoa wimbo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AWATAKA WASIMAMIZI WA MIRADI YA MATENGENEZO YA BARABARA KUZINGATIA...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wasimamizi wa miradi ya matengenezo ya barabara kuzingatia taaluma na weledi husika ili kupata thamani ya fedha kwa kuzingatia sheria, kanuni na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA ABAINI MADUDU MRADI WA MABADILIKO YA TABIANCHI · FEDHA ZAHOFIWA...

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina na ujumbe wake wakiwa katika Boat, wakielekea katika ukaguzi wa upandaji na utunzaji wa Mikoko, pamoja na uharibifu wa...

View Article

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA LOLIONDO

*Tumedhamiria kumaliza migogoro nchiniWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya Kamati Teule ya Kushughulikia Mgogoro wa Loliondo na kuahidi kuifanyia kazi pamoja na mawaziri husika.Ametoa kauli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA VIGAE CHA GOOD WILL...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu You qing mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Kiwanda kikubwa cha kutengeneza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF yaendesha Kampeni ya Wakulima ili kuwapa huduma ya Hifadhi ya Jamii.

Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Omary Mziya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mpango wa Uwezeshaji Masoko, Mtaji na Hifadhi ya Jamii katika Hafla  ya ufunguzi ilifanyika mkoani Manyara.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN PAMOJA NA BALOZI WA COMORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao, ofisini kwake Ikulu jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA TANO WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAAHIRISHWA

p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 21.4px; font: 14.0px 'Times New Roman'; color: #232323; -webkit-text-stroke: #232323} span.s1 {font-kerning: none} span.s2 {font-kerning: none;...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo aekutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Katika mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MIEZI MINNE MRADI WA MAJI WA NG’APA MKOANI LINDI...

Picha namba 1-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge kuhakikisha kuwa Mradi wa Maji wa Ng’apa uliopo mkoani Lindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TADB YAJIPANGA KUSHIRIKIANA NA WADAU

 Mwezeshaji wa wa Kongamano la Tatu (3) la Sera kuhusu Kilimo Prof. Andrew Temu (Kulia) akizungumza wakati wa Kongamano hilo.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MBUNGE LEMA APATA DHAMANA

NA GRACE MACHA, ARUSHAMBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), ameachiwa kwa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha akiwa amesota mahabusu kwa zaidi ya miezi minne ambapo ameahidi kutoa...

View Article

WATUMISHI 2,059 WARIPOTI DODOMA AWAMU YA KWANZA

JUMLA ya watumishi wa umma 2,059 wamekwisharipoti Dodoma katika awamu ya kwanza ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati akikabidhiwa uenyekiti wa...

View Article


POLISI MKOANI RUKWA WAKAMATA KILO 2 YA DAWA ZA KULEVYA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna mstaafu, Zelote Stephen amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa kwa kufanikiwa kukamata kilo mbili za madawa ya kulevya yadhaniwayo kuwa ni heroin na lori la scania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YALAZIMSHWA SARE YA 2-2 NA MBEYA CITY

 Beki wa Simba, Hamadi Juma (kushoto), akiwania mpira huku akizongwa na mchezaji wa Mbeya City, Majaliwa Shaban katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA JENGO LA OFISI YA BENKI KUU (BOT) PAMOJA NA NYUMBA...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa  Beno Ndulu, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>