MZEE ALINANOSWE ANAWATAFUTA NDUGU ZAKE WALIOPOTEZANA MIAKA KUMI ILIYOPITA
Mzee Alinanoswe Aspain Mwambapa mzaliwa wa Tukuyu Mbeya anawatafuta ndugu zake wakiwemo kaka zake na dada zake baada ya kupotezana nao kwa Zaidi ya miaka Kumi iliyopita.Kwa mujibu wa Mzee huyo...
View ArticleMatukio yaliyojiri kwenye Kiwanja cha Ndege cha Bukoba
Baadhi ya madarasa ya Shule ya Msingi Tumaini iliyopo kata ya Kashai, wilaya ya Bukoba Mjini ikisubiri kuhamishwa kutokana na usalama baada ya kuwa karibu na eneo la Kiwanja cha Ndege cha...
View ArticleJAFFO AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUCHAPA KAZI KWA BIDII
Mkuu wa wilaya ya Longido mkoa wa Arusha, Godfrey Chongolo akizungumza wakati wa zira ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Mh. Suleiman Jaffo...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA GATI NAMBA 2 KATIKA BANDARI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego...
View ArticleRais Magufuli ataka benki zipunguze riba
p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; font: 14.0px 'Times New Roman'; min-height: 16.0px} p.p2 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; font: 48.0px 'Times New Roman'} p.p3 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px;...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE PIA AWEKA JIWE LA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kuwasili kiwandani hapo kwa ajili ya...
View ArticleAhadi za Rais Dkt. Magufuli zatekelezwa katika ziara yake mikoa ya Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara Fr. Patrick Mwaya mara baada ya mahubiri katika Kanisa...
View ArticleNAMAINGO YATOA ELIMU BURE WAKAZI DAR KUHUSU UJASIRIAMALI
Mkurugenzi wa Taasisi ya Namaingo Business Agency Tanzania Limited, Ubwa Ibrahim akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Taasisi hiyo, Ukonga, Dar es...
View ArticleRAIS AHUTUBIA WANANCHI WA MTWARA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA MKOANI MTWARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara yake katika Viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara.Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleRAIS MAGUFULI AIPA "MENO" TANESCO. ZANZIBAR NA TAASISI NYETI SASA KUKATIWA...
NA K-VIS BLOGRAIS John Pombe Magufuli, amelipongeza Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO) kutokana na kasi yake ya kusambaza umeme nchini hususan vijijini.Rais aliyasema hayo Machi 5, 2017 wakati...
View ArticleRAIS WA CHEMBA YA BIASHARA, VIWANDA NA KILIMO AHIMIZA WATANZANIA KUTUMIA...
Rais wa Chemba ya Biashara,viwanda na kilimo, Ndibalema Mayanja, amewataka wananchi na wafanyabiashara wa Mikoa ya Mwanza na Kagera kuchangamkia soko la awali la hisa za TCCIA Investment...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Magufuli na Balozi wa China nchini Dkt katika picha ya pamoja na viiongozi mbalimbali baada ya uzinduzi rasmi ya Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere...
View ArticleRais TCCIA awashika sikio Kagera, Mwanza
Rais wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), Ndibalema Mayanja, akizungumza kwenye mkutano na wadau mbalimbali wa biashara jijinMwanza. Kushoto ni mshauri wa TCCIA mkoa wa...
View ArticleTigo, Malvik wageukia huduma bima ya afya
Mkuu wa Huduma za Kifedha kwa Simu wa Tigo, Ruan Swanapoel, akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya BimaMkononi. Kushoto ni Meneja wa Milvik Tanzania, Tom Chaplin. Mkuu wa Huduma za Kifedha kwa Simu...
View ArticlePROF. NDALICHAKO AZINDUA BODI MPYA YA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA)
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiongea na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo ambapo ameielekeza Bodi...
View ArticleMASAUNI ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA ABEID AMANI KARUME, AAGIZA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, wakati wa ziara ya kukagua udhibiti wa uingiaji wa Dawa za Kulevya Visiwani humo,...
View ArticleMAADHIMISHO YA GIRL GUIDES TEMEKE YA KUMUENZI MWASISI WA TGGA DUNIANI
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell...
View ArticleOperesheni ya Viroba Yaibua Wafanyabiashara Wasiokuwa na Vibali vya TFDA
Na: Lilian Lundo – MAELEZOOperesheni ya kuondoa pombe kali zilizofungwa katika vifungashio vya plastiki (viroba) inayoendelea nchi nzima imeibua wafanyabiashara wanaofanya biashara ya pombe bila kuwa...
View ArticleYANGA YAIFUNDISHA SOKA KILUVYA UNITED, YAIPIGA 6-1
p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; font: 18.0px Times} Saimon Msuva akiwania mpira na beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya. Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya (kushoto), akimtoka, Hassan...
View ArticleZIARA YA PROF. MBARAWA KWENYE KIVUKO KIPYA CHA MV KAZI KITAKACHOTOA HUDUMA...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh.Profesa Makame Mbarawa akikagua mojawapo ya injini ya kivuko cha MV KAZI wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko hicho. Kulia kwake...
View Article