Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA NCHINI

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo aekutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Katika mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa Benki ya Dunia ameahidi kuisaidia Tanzania katika Sekta ya Mazingira ikiwa ni pamoja na uhifadhi wa mifumo ya ikolojia na bioanuai, pamoja na kulijengea uwezo Baraza laTaifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba (Kushoto) akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Bella Bird, jijini Dar es Salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>