SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI, RPC ATOA TAHADHARI
Wananchi waliokubwa na mafuriko katika Kijiji cha Timbolo Kata ya Sambashe mkoani Arusha. Wananchi wa Kijiji cha Timbolo Kata ya Sambashe mkoani Arusha wakiendelea na juhudi za kuunasua mwili wa bibi...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Ivory Coast Mheshimiwa...
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 23Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ivory Coast, Mhe. Alassane Ouattara...
View ArticleMBUNGE RITTA KABATI KUSAIDIA UJENZI WA OFISI MANISPAA YA IRINGA
MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akimkabidhi mifuko ya saruji kwa ajiri ya ujenzi wa jengo la ofisi ya chama katika kata ya Ruaha kwa mwenyekiti wa...
View ArticleKIPYENGA CHA UCHAGUZI DRFA CHAPULIZWA,MCHAKATO KUANZA RASMI KESHO
Kamati ya uchaguzi ya chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,imetangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa chama hicho watakaokiongoza kwa kipindi kingine cha uongozi.Mwenyekiti...
View ArticleLOWASSA, MBOWE WASHUHUDIA YANGA WAKIADHIBIWA 2-1
Mashabiki wa soka wakiingia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo kushuhudia pambano la Simba na Yanga. Simba imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande).p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; font:...
View ArticleRAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA RASMI YA KISERIKALI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipokea shada la maua mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kuanza ziara rasmi ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es...
View ArticleUSIMIKAJI WA MIFUMO YA UMEME, TEHAMA, VIYOYOZI PAMOJA NA USHAURI WA KIHANDISI...
Jengo Jipya la Bodi ya Mfuko wa Barabara lililopo mjini Dodoma ambako Idara ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imetoa ushauri wa kihandisi katika usimikaji wa mifumo ya TEHAMA, Umeme,...
View ArticleKIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUZUIA VUMBI KWA...
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akipokea vifaa vya kuzuia vumbi kwa askari wa usalama barabarani kutoka kwa msamaria mwema, Tahir Othman (kulia) ,aliyejitolea vifaa hivyo...
View ArticleDIWANI WA BUGURUNI AMEWAAGIZA VIONGOZI WA KATA KUWAKAMATA NA KUWACHUKULIA...
Diwani wa Kata ya Buguruni,Adamu Fugame (Cuf) akishirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,Msongela Palela na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,Edward Mpogolo (kulia) wakifanya usafi katika maeneo ya...
View ArticleRAIS YOWERI MUSEVENI AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NA KUREJEA NCHINI KWAKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleMTANZANIA ASHINDA KILI MARATHON 2017
Mshindi wa kwanza wa Kilomita 21 ya Kilimanjaro Marathon yaliyozaminiwa na Tigo, Mtanzania, Emmanuel Giniki, akimaliza mbio wakati wa mashindano yaliofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro kwa udhamini wa...
View ArticleHAKUNA MABADILIKO YA UTAWALA ZANZIBAR: BALOZI SEIF IDI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu katika hafla ya makabidhiano ya vifaa vya Michezo kwa Timu zinazoshiriki Mashindano ya Kombe la Jimbo Unguja hapo ukumbi wa CCM...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa majimbo ya Unguja CCM na Vijana wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Mhe,Mohamed Raza Daramsi Mwakilishi wa Jimbo la...
View ArticleMAHAKAMA YAFUTA RUFAA ZILIZOFUNGULIWA NA SERIKALI DHIDI YA LEMA
Wakili wa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, Peter Kibatala, akiwafafanulia jambo viongozi wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), baada ya mahakama ya Rufaa kufuta rufaa mbili...
View ArticleSERIKALI YAISHUKURU AfDB KUKUBALI KUFADHILI MIRADI YA UJENZI WA BARABARA NA...
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es SalaamWaziri wa Fedha na Mipango ameishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kukubali kuendelea kufadhili miradi ya maendeleo ya kipaumbele hususani ya ujenzi wa...
View ArticleMEYA ILALA AFUNGUA RASMI DARAJA LA BONYOKWA-KINYEREZI
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akihutubia wananchi baada ya kufungua rasmi daraja linalounganisha Kata ya Bonyokwa na Kata ya Kinyerezi katika Manispaa ya Ilala,...
View ArticleMKUU WA JESHI LA ULINZI TANZANIA ALA KIAPO CHA UADILIFU KWA VIONGOZI WA UMMA
Kamishna wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela(wapili kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory...
View ArticleKAMPUNI YA BINTI FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi vifaa vya shule Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Tuwaje Mohamed kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma...
View ArticleVITA YA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBARA YASHIKA KASI
Na Talib Ussi, ZanzibarMaafisa 15 wa jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharbi Unguja wanatuhumiwa na kushiriki katika biashara ya madawa ya kulevya Visiwani Zanzibar.Kauli hiyo ilitolewa jana na mkuu wa...
View Article