Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE KATIKA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwa ameanza ziara yake ya kuzungumza na wananchi wa Kata zote za Jimbo la Hai kwa kutumia helkopta ili kujadili shughuli mbalimbali za maendeleo ambapo ziara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOLLYWOOD CELEBRITY KARLIE REDD EXCLUSIVE INTERVIEW NA SWAHILI TV

  Mcheza sinema, TV personality, Nyota anayeng'ara wa Love & Hip Hop Atlanta, Mwimbaji , Mmiliki wa Biashara za Nywele, Mtu maarufu Karlie Redd aanika mikakati yake na AFRICA SWAHILI MEDIA GROUP....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA IDD EL FITRI, UKUMBI WA SALAMA BWAWANI HOTEL

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu  wakati   Baraza la Iddi el Fitri  lililofanyika leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASWALI SWALA YA IDD KINONDONI

 Rais Dk. Jakaya Kikwete akingia katika msikiti wa Kinondoni Muslim tayari kuhudhuria swala ya Iddi leo asubuhi,jijini Dar es Salaam.Baadhi ya waumini ya dini ya kiisalmu wakiswali swala ya Iddi katika...

View Article

Chadema, CUF Wamtimua Mtendaji Kata Kikombo

Na Bryceson MathiasWANANCHI wa Kata ya Kikombo, Juni 6, walimtimua Mtendaji wa Kijiji na Kaimu Mtendaji wa Kata, Wello Dede, kwenye mkutano wa hadhara, wakimtuhumu kwa ubadhirifu wa fedha akibebwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAICHAKAZA VILLA 4-1

Kiungo wa Simba, Amri Kihemba akimtoka beki wa Sports Club Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo., Siomba imeshinda 4-1. (Picha na Habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA inamuondoa Kaburu Mweusi nchini? Iungwe Mkono!

Na Bryceson MathiasCHAMA cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, hivi karibuni kimewahakikishia watanzania kuwa kitafanya kila linalowezekana kurejesha mali...

View Article

MAKOCHA 32 KUSHIRIKI KOZI YA FIFA COPA COCA-COLA

Makocha 32 kutoka mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani wanashiriki kozi ya Copa Coca-Cola inayoanza kesho (Agosti 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Mkufunzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UNITED WAICHAPA WIGAN ATHLETIC NA KUTWAA NGAO YA HISANI WEMBLEY

 Umati wa mashabiki wa soka ukiwa unaingia ndani ya Uwanja wa Wembley jijini London, kuangalia pambano la Ngao ya Hisani kati ya Manchester United na Wigan Athletic, ambapo United imeshinda kwa mabao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA NAYO YAJIPIGIA VILLA 4-1

Golikipa wa Sports Club Villa ya Uganda , Elungat Martins akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake huku mshambuliaji wa Yanga, Husein Javu akiruka juu, wakati wa harati za kufunga katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH PONDA ALAZWA MOI CHINI YA ULINZI WA POLISI

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi, jijini Dar es Salaam, wakati akisubiri kufanyiwa operesheni...

View Article

SHINING THE SPOTLIGHT ON FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT

Shining the Spotlight on Linda BezuidenhoutLinda Bezuidenhout (LB) is a fashion designer who is based in Atlanta, USA. Linda has been involved in fashion industry for over 20 years, in Africa, Europe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA NDI YA MAREKANI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA NDI YA MAREKANI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIMPOZ KUIWEKA 'TUPOGO' KIDEONI

Na Elizabeth JohnBAADA ya kuanza kufanya vizuri na kazi yake ya ‘Tupogo’, mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ anatarajia kuanza kupiga picha kwaajili ya video ya kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABDUKIBA AWASHTUKIZA MASHABIKI

Na Elizabeth JohnBAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Kidela’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdukarim Kiba ‘Abdukiba’ anajipanga kuwapa ‘Surprise’ wapenzi wa kazi zake hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB YAKABIDHI WODI YA WAZAZI NA VIFAA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA META-MBEYA

 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi wodi ya wazazi iliyofanyiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE ANGURUMA MUSOMA LEO

 Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa uzinduzi wa Mabaraza ya Wazi ya Kujadili Rasimu ya Katiba, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEI HATI YA UTAMBULISHO YA BALOZI WA UHOLANZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ikulu)Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA POLISI YAAGWA, BENDERA YAO IKIGEUZWA

Naibu Kamishina wa Polisi, (DCP) Thobias Andengenye (kushoto) akimpa mkono nahodha wa timu ya Polisi, Salmin Mohamedi wakati wa hafla ya kuwaaga wachezaji wanaokwenda kwenye mashindano ya Polisi kwa...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>