Rais Kikwete aongoza kikao cha baraza la Mawaziri ikulu
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichofanyika ikulu jijini Da es Salaam leo.Wa pili kulia ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal na watu kulia ni Katibu mkuu...
View ArticleNAPE:CCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA KATIBA
Nape NnauyeNA Mwandishi WetuCHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya.Imesema licha ya CCM...
View ArticleMuuza Kahawa ashinda Wazo Bora la Kutweets na Mengi
Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa shindano la wazo bora juu ya kujikwamua kiuchumi ‘Kutweets na Mengi’, Tony Alfred katika hafla hiyo ilifanyika...
View ArticleNMB YASHIRIKI FUTARI NA WATEJA WAKE
Mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilishiriki futari na wateja wake jijini Zanzibar. Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwisha jengeka baina ya wateja wa NMB na Benki ya NMB. Makamu wa...
View ArticleKONYAGI WAIOMBA SERIKALI KUONDOA KODI KATIKA ZAO LA ZABIBU
UONGOZI wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distileries Limited (TDL), umeiomba serikali kuondoa kodi inayotoza kiwanda hicho kutokana na ununuzi wa zao la zabibu kwa kuwa bado hakijajiimarisha...
View ArticleBANDA LA WIZARA YA HABARI NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Viongozi hao kutoka Wizarani walitembelea Taisisi zote zilizo chini Ya Wizara hiyo ikiwa ni Idara ya MAELEZO, TSN, TBC, BASATA, BODI YA FILAMU, TASUBA, IDARA YA MICHEZO NA ILE YA VIJANA.Mkurugenzi wa...
View ArticleJe, ufisadi ni Busara?
‘Mbwa hawezi kumbeba Paka Mgongoni’Na Bryceson Mathias Tafadhali, naomba leo katika Hoja hii nianze na swali! Je hivi samba akitaka kumla mtu anaweza kupewa siku saba ajirudi iwapo anataka kumla mtu au...
View ArticleJe, ufisadi ni Busara?
‘Mbwa hawezi kumbeba Paka Mgongoni’Na Bryceson Mathias Tafadhali, naomba leo katika Hoja hii nianze na swali! Je hivi samba akitaka kumla mtu anaweza kupewa siku saba ajirudi iwapo anataka kumla mtu au...
View ArticleJe, ufisadi ni Busara?
‘Mbwa hawezi kumbeba Paka Mgongoni’Na Bryceson Mathias Tafadhali, naomba leo katika Hoja hii nianze na swali! Je hivi samba akitaka kumla mtu anaweza kupewa siku saba ajirudi iwapo anataka kumla mtu au...
View ArticleJe, ufisadi ni Busara?
‘Mbwa hawezi kumbeba Paka Mgongoni’Na Bryceson Mathias Tafadhali, naomba leo katika Hoja hii nianze na swali! Je hivi samba akitaka kumla mtu anaweza kupewa siku saba ajirudi iwapo anataka kumla mtu au...
View ArticleMakala; Je, ufisadi ni Busara?
‘Mbwa hawezi kumbeba Paka Mgongoni’Na Bryceson MathiasTafadhali, naomba leo katika Hoja hii nianze na swali! Je hivi samba akitaka kumla mtu anaweza kupewa siku saba ajirudi iwapo anataka kumla mtu au...
View ArticleJe hivi sasa, tuna Viongozi wa siasa au tuna Wababaishaji?
Na Bryceson Mathias LICHA ya kuwa na baadhi ya viongozi wazuri nchini, bado tunao Wababaishaji ambao wangepaswa kusimamia sheria za nchi na kanuni zake, lakini wamekuwa wa kwanza kukiuka taratibu...
View ArticlePOLISI KUUKABILI UHALIFU KISASA ZAIDI
Mkurugenzi wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes (T) Ltd, Max Komba (wapili kulia-waliosimama), akikagua uchimbaji mtaro kwa ajili ya kutandika nyanya za mfumo wa mawasiliano kwenye kituo cha Polisi...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam juzi. Wa pili kushoto ni Naibu...
View ArticleNMB YAZINDUA ASASI YA MAENDELEO YA KILIMO (NMB FOUNDATION FOR AGRICULTURAL...
Mwanzoni mwa wiki Benki ya NMB ilizindua taasisi ya maendeleo ya Kilimo nchini Tanzania.Taasisi ambayo inakusudi la kuinua sekta ya kilimo kwa kuanzia ngazi ndogo kabisa inayomgusa mkulima mdogo hadi...
View ArticleWITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WATOTO KUJIFUNZA GOFU
Mwalimu wa Gofu kwa watoto wadogo klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam Bw. Claude Nkawamba akimfundisha Vanessa Nkurlu (7) mchezo huo,Mwalimu huyo alitoa wito kwa wazazi wakitanzania kuwapeleka watoto wao...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MSIKITI WA MANYEMA TABORA,...
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora leo. Picha na OMR.Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
View Article