$ 0 0 Mwenyeiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa uzinduzi wa Mabaraza ya Wazi ya Kujadili Rasimu ya Katiba, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo mjini Musoma leo. (Picha na Joseph Senga)