Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STAMINA KUTOKA NA DARASA

 Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Boniventure Kabobo ‘Stamina’ anatarajiwa kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Mwambie mwinzio’ hivi karibuni.Akizungumza jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE

 Rais Kikwete akihutubia umati Ngara.Rais Kikwete akisalimia wananchi Rulenge.Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANENO MBEGU NA QUEEN SENDIGA WAMEREMETA

 Bwana Harusi Maneno Mbegu akivishwa pete na mwandani wake, Queen Sendiga walipokuwa wanafunga ndoa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.                     Maneno...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBAKA APATA MKONG'OTO KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA

Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa watu wenye hasira.Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa wananchi hao wenye hasira.Mtuhumiwa wa wizi akiomba kusamehewa wakati mtu mwenye hasira akijiandaa kumtupia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhubiri Mkongo aonya watanzania wasidanganywe!

 Mhubiri Mahano Jean toka Kongo akifundisha. Mhubiri Mahano Jean wa Kongo akisikilizwa kwa makini. Na Bryceson Mathias, DodomaMHUBIRI wa Kimataifa wa Kongo, Mahano Jean, amewaasa na kuwaonya watanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.  PICHA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA WA MFUKO WA MAENDELEO YA MTANDAO WA WANAMBWEWE WAISHIO DAR ES...

 MBUNGE wa Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Saidi Mwanamdogo, akizungumza na wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanambwewe waishio Dar es Salaam (MNDF), leo katika ukumbi wa Shule ya Msingi...

View Article

CCM YAKOMALIA SERIKALI MBILI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIHANI WA UWAKALA WA WACHEZAJI, MECHI SEPT 26

Mtihani wa uwakala wa wachezaji (players agent) na uwakala wa mechi (match agent) wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Alhamisi ya Septemba 26 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Slaa, Dk. Kikwete; Nani atakayetuvingirishia jiwe la Rushwa na Ufisadi?

 Na Bryceson Mathias BAADA ya Kifo cha Muasisi na Mpigania wa Uhuru wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ilivyokuwa wakati wa Kifo cha Yesu Kristo, yaliyotokea haya! “Hata sabato...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA BENKI YA CRDB WAKUTANA NA RAIS Dk.SHEIN

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benkiya CRDB Dk.Charles Kimei, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa naujumbe wake...

View Article

WADAU WA SOKA SONGEA KUJADILI UREJESHWAJI WA MAJIMAJI LIGI KUU TANZANIA BARA

 Klabu kuendeshwa kikampuni na hisa kuuzwaKampuni ya Tanzania Mwandi ikishirikiana na Majimaji FC, imeandaa mkutano wa wadau wote wa soka mkoani Ruvuma chini ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Said...

View Article

KIBANDA ASIMULIA YALIYOMSIBU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA HOUSTON TX WAMPA HAFLA NZITO MPIGANAJI "THE CEO" DAVIS MOSHA KATIKA...

Upscale Spot ndani ya HoustonMpiganaji maarufu Davis Mosha akiteta jambo na wadau wa Houston, kulia ni Grace MmariJuliet, Christa wakifurahia jambo Juliet na Christa wakichagua kitengoFrank Mutafungwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YATOKA SARE NA POLISI KOMBAINI

 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimtoka mchezaji wa Polisi Kombaini, Magige Machango katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dk Bilal ahudhuria kuapishwa Rais Mpya wa Iran

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya IRAN alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUNDI MBALI MBALI MBALI YA VIJANA MKOA WA MWANZA WASHIRIKI MJADALA WA...

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa CCM juu ya Rasimu ya Katiba mpya katika mkutano uliofanyika Mwanza leo na kuwakutanisha vijana wa makundi mbali mbali.Mjumbe wa Kamati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TSN, TCRA, AICC, TTCL, YARA WASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE...

 Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao lililopo ndani ya Viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma yanapofanyika Maonesho ya Kitaifa ya...

View Article

HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI WA JULAI 2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIWETE AFUTURISHA WASANII WA BONGO FLEVA IKULU

 Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu na  Bongofleva, Hemed Suleiman. Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>