MTAANI KUNANI - OLIVER MTUKUZI ALITEKA JIJI LA NEW YORK
Video na Joshua MmaliOliver Mtukudzi alitoa burudani bure kwa wakazi wa New York katika eneo la kupumzika Free Park, maelfu ya wamarekani walifurika katika show yake. Hii inafundisha nini wasanii wa...
View ArticleTumekamuliwaaa! Sasa tunatoka damu!
Na Bryceson MathiasNG’OMBE ni Mfugo, lakini kwa walio wengi unatafsiriwa kama Kiwanda chenye mazao mengi yanayozalishwa kama bidhaa adimu.Mbali ya bidhaa nyingi zinazotolewa na ng’ombe, kubwa ambayo...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA LEO KAMBI...
Katika maadhimisho hayo alikuwepo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji...
View ArticleRAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI MULEBA
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani KageraRais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili...
View ArticleEAC Bra Survey team in Uganda
The EAC Brand 2013 survey team embarked on a week-long mission to Uganda on how citizens perceive the regional integration activities, programme and how much they understand of the Community. The...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MILIONI 28 KIJIJI CHA ISNURA, MBARALI, MKOANI MBEYA
Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu kulia na Meneja kampuni ya bia (TBL) Nicolaus Kanyamala wakizindua kisima cha kijiji cha Isnura. (Picha na Mbeya Yetu)Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu...
View ArticlePolisi azua taflani mkutano wa Chadema, kunusurika kipigo
Wananchi wakiondoka Uwanjwa wa Shule ya Msingi Kikombo baada ya Askari Sivanus kuzua tafrani iliyomnusuru kipigo kutokana na Hekima ya Diwani Ally Biringi nguo ya Bluu na Kofia huku Yona Kusaja...
View ArticleIRINE CHEPTAI WA KENYA AANGUKA NA KUZIMIA BAADA YA KUMALIZA MBIO ZA MITA 3,000
Daktari wa kwanza kabisa kumkimbilia Irine Cheptai akihaha kuuzindua moyo wake baada ya kuzimia, alipokuwa akimaliza mbio za mita 3,000 kwenye Uwanja wa Olimpiki jijini London.Jopo la Madaktari...
View ArticleTANZANIA YATOLEWA MICHUANO YA CHAN
Tanzania (Taifa Stars) imeshindwa kufuzu Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) kwa mara ya pili mfululizo baada ya leo (Julai 27 mwaka huu) kufungwa mabao 3-1 na Uganda Cranes, hivyo kutolewa...
View ArticleCCM Kikombo yakanusha kutafuna fedha za Mnara wa Airtel
Na Bryceson Mathias, Kikombo, Dodoma vijijiniCHAMA cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Kikombo, Kata ya Kikombo, Manispaa ya Dodoma, kimekanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Chama cha Demokrasia na...
View ArticleTwo male passengers from Tanzania with heroin detained in Hong Kong
Hong Kong Customs July 25 detected three drug trafficking cases, with seizures totally valued at $4.78 million, in the department's escalated anti-narcotics efforts to combat drugs. Customs...
View ArticleWAZIRI WASIRA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO-MAGU
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Magu, Aileen Geofrey akimwonyesha kwa kuandika ubaoni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wasira kwamba anajua kusoma na kuandika, baada ya Waziri...
View ArticleKikwete; Umepokea Malalamiko ya Chadema!
Na Bryceson MathiasHIVI karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilidai kamwe hakitakabidhi ushahidi kwa Jeshi la Polisi nchini kuhusu Askari aliyehusika na Bomu la Arusha hadi Rais Jakaya...
View ArticleDAVIS MOSHA AHOJIWA NA VOA (VOICE OF AMERICA)
Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani...
View ArticleLINDI SOCCER ACADEMY WAVULIWA UBINGWA COPA COCA COLA MANISPAA YA LINDI
Kikosi cha Lindi Soccer Academy (LSA) kilichoshiriki michuano ya Copa Coca Cola 2013. Wa kwanza kushoto waliosimama, ni Ofisa Habari wa LSA, Salum Mkandemba, ambaye pia ni Mhariri wa Habari Mseto Blog....
View ArticleDOGO JANJA AJIPANGA 'KUSEREBUKA'
Na Elizabeth JohnKINDA anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ anatarajiwa kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Serebuka’ hivi...
View ArticleBERRY BLACK AIBUKA NA 'ISHARA ZANGU'
Na Elizabeth JohnBAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Berry Black ameibuka upya na anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ishara zangu’...
View Article'KIBUDU' CHA MSECHU CHAFANYA KWELI
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Peter Msechu, ameachia kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Kibudu’ ambacho kimeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya...
View ArticleAT 'ANAPENDA'
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na ngoma yake ya ‘Kitumbua’, mkali wa muziki wa mduara nchini, Ally Ramadhan 'AT' anatarajia kuachia kazi mpya inayokwenda kwa jina la ‘Anapenda’.Akizungumza jijini...
View Article