POLISI WAMPA KIPIGO MWANDISHI WA CHANNEL TEN AKIWA KAZINI
Mwandishi na mpiga picha wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Eliah Ruzika (pichani) amepigwa na askari wa Jeshi la Polisi akiwa kazini kwenye mkutano wa wafanyakazi wa Tazara. Tukio hilo...
View ArticleWANACHAMA WA HABARI GROUP WAPELEKA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA
Diwani wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni, Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha...
View ArticleSIMBA YASAJILI BEKI KUTOKA BURUNDI
Beki mpya wa Simba kutoka Burundi, Kaze Gilbert akisaini mkataba wa kuichezea timu hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Simba, Moses Itang'are
View ArticleMKURUGENZI WA SWAHILI TV ALEX KASSUWI AIFIKISHA SWAHILI TV HOLLYWOOD KWA...
Alex Kassuwi aka KING akienda kwenye moja ya mikutano ya kusaini deals, Hollywood blvd, California Mpiganaji The CEO Davis Mosha akiwa katika mazungumzo na Mwanzilishi na Boss wa Immigrant magazine...
View ArticleWAMBURA ATOA SABABU ZA KUUNGA MKONO UAMUZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA MICHEZO NA...
Katiba ya TFF ya 2012 ilifutwa na msajIli wa vyama vya michezo na vilabu kwa kuwa ilibadilishwa kinyume cha sheria(BMT) pamoja na Katiba ya TFF ibara ya 30 kwa kutumia njia ya waraka badala ya...
View ArticleMAMA ASHA BILAL AFUTURU PAMOJA NA WANAFUNZI WENZAKE WA CHUO CHA DIPROMASIA
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akizungumza na wananfunzi wenzake wa Chuo cha Dipromasia, baada ya kufuturu wakati alipowaalika katika futari ya pamoja kwenye...
View ArticleYANGA YAIFYATUA MTIBWA SUGAR 3-1
Beki wa Mtibwa Sugar, Salvatory Ntebe akichuana na mshambuliaji wa Yanga wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. (Picha zote na Habari...
View ArticleCATHERINE FOUNDATION YATOA MKONO WA IDD EL FITIRI KWA YATIMA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. (Pichana...
View ArticleMAKOCHA RIADHA WAASWA KUJITOLEA ZAIDI
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Riadhaa Tanzania (RT), Tullo Chambo akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa kozi ya ukocha ngazi ya kwanza, Mary Christopher, kozi hiyo imeandaliwa na...
View ArticleMSECHU: VIDEO YA 'kIBUDU' NITAIFANYA KENYA
Na Elizabeth JohnHATIMAYE ngoma inayokwenda kwa jina la ‘Kibudu’ liyoimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Peter Msechu, imeanza kutamba katika vituo mbalimbali vya redio kutokana na ujumbe...
View ArticleMbunge Murji; Ni kweli akumulikae mchana usiku atakuchoma?
Na Bryceson Mathias HIVI karibuni Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mtwara ilimfutia shtaka la kesi ya uchochezi iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM) Hasnein Murji (46) aliyepandishwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AMTEUA JAJI MUTUNGI KUWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleTENGA AMSHUKURU MSAJILI KWA KUSAJILI KATIBA YA TFF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amemshukuru Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo nchini kwa kusajili Katiba ya TFF toleo la 2013 kutokana na marekebisho...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR
Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati...
View ArticleChimwemwe atamba kumchapa Cheka
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Best Man Promotion, Zumo Makame (katikati) akiwatambulisha mabondia wawili kutoka Malawi, Chiotcha Chimwemwe (kulia) na Bgright Mdoka (kushoto) kwa waandishi wa...
View ArticleWabunge wasipowajibika kwa wananchi watasuswa!
Na Bryceson MathiasWANANCHI kwenye Majimbo ya Uchaguzi, sasa wameanza kupata uelewa wa haki zao dhidi ya wabunge wao, jambo ambalo kama wasipowajibika kikamilifu kutetea haki zao, wana hatari ya...
View ArticleTFF: RUKSA TIMU YA 3 PILLARS KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI TANZANIA
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura (Picha Na Maktaba).DAR ES SALAAM, Tanzania“FA ya Lagos imekiri kuiidhinishia ziara ya Pillars nchini, mchakato uliotokana na...
View ArticleVURUGU ZA MASHABIKI ZAVUNJA PAMBANO ENGLAND
Bao la dakika ya 87 la Tom Clarke wa Preston, iliyokuwa ikumana na mahasimu wao Blackpool, lilitosha kusababisha vurugu zilizomlazimisha mwamuzi kuvunja pambano. Hapa farasi wa polisi akimkanyaga na...
View ArticlePolisi amwandikia Makamu wa Rais Dk.Bilal, akipinga kufukuzwa kwa fedheha:
Na Bryceson MathiasASKARI Polisi (pichani) mwenye namba D5788D Koplo Patrice Masiko wa Upelelezi Wilaya ya Dodoma, amemwandikia Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipinga kufukuzwa kwa aibu...
View Article