Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benkiya CRDB Dk.Charles Kimei, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa naujumbe wake leo. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Benki ya CRDB, ukiongozwana Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei, (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)