Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimtoka mchezaji wa Polisi Kombaini, Magige Machango katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Polisi Kombaini, Admin Bantu akimtoka mshambuliaji wa Simba, Abdulhalim Humud katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam![]()
Mshambuliaji wa Simba Betram Mombeki akishangilia goli aliloifungia timu yake dhidi ya Polisi Kombaini katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Kikosi cha Simba
Kikosi cha Polisi Kombaini.